Hapo Zamani Nchini Uholanzi-1931

Hapo Zamani Nchini Uholanzi-1931

Nubian Ancient

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
958
Reaction score
1,183
photo5215319981296822539.jpg

Bwana mmoja ambaye hakufahamika jina lake , huko nchini Uholanzi, aliokenekana akipewa faini (ambapo haikufahamika ni shilingi ngapi) kwa kosa la kutokuvaa kwa heshima. Tukio hili lilitokea miaka ya 1931, ambapo wakati huo watu hawakuruhusiwa kujivalia wanavyotaka. Na badala yake watu walihitajika kuvaa mavazi yenye heshima hata kama watu wapo sehemu za starehe kama fukwe za bahari.

#HISTORY IS GREAT#
 
Back
Top Bottom