donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wanamalizia hela zao mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata kiduku ukiwezaSakata rhumba...kamatia chini
Hahaha kwann wasema hivo mkuuWanamalizia hela zao mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ukienda kwenye shughuli lazima ufidie hadi nauli unaenjoy mwanzo mwisho na rhumbaHahaha kwann wasema hivo mkuu
Hahah, na kweli. Hapa nipo msasani beach club halafu kuna sherehe mbili na zote ni mualikwa. Naogopa kua kama mr.tamaa mbele and two feastsMkuu ukienda kwenye shughuli lazima ufidie hadi nauli unaenjoy mwanzo mwisho na rhumba
kweli mkuuHata kiduku ukiweza
ila msosi lazima pamde zote mbili uonje mkuuHahah, na kweli. Hapa nipo msasani beach club halafu kuna sherehe mbili na zote ni mualikwa. Naogopa kua kama mr.tamaa mbele and two feasts
Aisee mkuu umewaza mbaliKla m1 anaangalia SEHEMU aipendayo.[emoji16][emoji16][emoji16]
Nilicheza kama pele mkuuila msosi lazima pamde zote mbili uonje mkuu
Nawaona Seriously kinomaa.