Pole sana mkuuKwa kweL matokeo yameniumiza sana
Unamtegemea dada EvaEverton nae atushangaze leo kama villa 😎
asante ndo yatatokeaPole sana mkuu
N Jackson kajuaView attachment 3697560
Thank You Aston Villa for saving Football ⚽️ this week 🙌 😄
Nimempa Arsenal kwenye mkeka wangu, usiseme hivyo 🥺🥺🥺Everton nae atushangaze leo kama villa 😎
Arsenal analala mbele na keka hilo 😂Nimempa Arsenal kwenye mkeka wangu, usiseme hivyo 🥺🥺🥺
Oyaaa utaniua na presha Mwanangu 😭😭😭Arsenal analala mbele na keka hilo 😂