Pundit naona tuna tundika back to back ngoma zinafana almost neno kwa neno mtu wangu. At least Wanasayansi tuna sauti moja.
Kwenye imani kuna wa Shia, Katoliki, Suni, Assemblies of God, Baniani, Anglican, Mujaheeden, Lutheran, Buddha, Confusionism, Mormons, Hindu.....................
kwenye imani waamini kuna Mungu, na ndivyo kama ilivyo kwenye principles za science. Katika sayansi pia kuna branches vile vile, za environment, ecology, medicine, physics, chemistry, enginering na branch za sayansi ambazo zina definition tofauti na principles tofauti pia.
KM, hayo uliyo orodhesha ni makanisa na dini... nadhani kikubwa tunachokizungumzia na nyie mnacho kizunguka kwa nguvu na hali ni kule kuamini Mungu.Pundit naona tuna tundika ngoma zinafana back to back mtu wangu. At least Wanasayansi tuna sauti moja.
Kwenye imani kuna wa Shia, Katoliki, Suni, Assemblies of God, Baniani, Anglican, Mujaheeden, Lutheran, Buddha, Confusionism, Mormons, Hindu.....................
Pundit unamwona huyu Mama huyu? LOL!
Mama, nitajie principle moja ya Sayansi ambayo inapingwa na nyingine. Moja tu. Halafu tutayamaliza haya Mama.
Kwenye mi conflict ya principles za dini Mama wala tusiende tusije tukawaibua kina Maxshimba na Allah's Slave!
Sijui kina Invisible wamewapa "Pain Killers" masikini?
Ha haha aaaa
Gamba, je assumption za wanadamu katika kutatua na kumudu yale yanayowazunguka ni sawa na assumption za kiroho/kiimani zinazolenga uwepo wao hapa duniani kama wanadamu?!katika sayansi kuna assumptions nyingi sana hufanyika ili kupata results ambayo wanasayansi wanaiona ni reasonable, chukulia mfano kitu kama "ideal gas" na "real gas", ideal gas hai exist lakini bado wanaibuka na kanuni na maequation kibao ya kikemia/kifizikia juu ya hizo gas ambazo wala haziexist, kuna temperature inaitwa absolute zero temperature(-273K) hiyo haijawahi kufikiwa lakini wanasayansi nao "wanaamini ipo hiyo",
kitu kingine ni kwamba derivation za kanuni nyingi za kifizikia huwa kuna assumption nyingi
sana kama alivyosema mama mara watasema "assume variable fulani is very small kiasi kwamba value yake inatend to zero!", au mara assume kitu fulani kina "approach to infinity!", kwa hiyo imi ninadhani kwamba kwa kufanya assumption hizo tu tayari unakuwa umeshaukwepa ukweli, kwa hiyo ni bora wanasayansi wasiclaim absolute truth katika mambo yao ya kisayansi, instead wangekuwa wakituambia kuwa theory fulani au law fulani ya kisayansi ina ukweli asilimia fulani na uwongo asilimia fulani kutokana na assumptions wanazokuwa wamezifanya ili kuformulate hizo theories na laws zao
katika sayansi kuna assumptions nyingi sana hufanyika ili kupata results ambayo wanasayansi wanaiona ni reasonable, chukulia mfano kitu kama "ideal gas" na "real gas", ideal gas hai exist lakini bado wanaibuka na kanuni na maequation kibao ya kikemia/kifizikia juu ya hizo gas ambazo wala haziexist, kuna temperature inaitwa absolute zero temperature(-273K) hiyo haijawahi kufikiwa lakini wanasayansi nao "wanaamini ipo hiyo",
kitu kingine ni kwamba derivation za kanuni nyingi za kifizikia huwa kuna assumption nyingi
sana kama alivyosema mama mara watasema "assume variable fulani is very small kiasi kwamba value yake inatend to zero!", au mara assume kitu fulani kina "approach to infinity!", kwa hiyo imi ninadhani kwamba kwa kufanya assumption hizo tu tayari unakuwa umeshaukwepa ukweli, kwa hiyo ni bora wanasayansi wasiclaim absolute truth katika mambo yao ya kisayansi, instead wangekuwa wakituambia kuwa theory fulani au law fulani ya kisayansi ina ukweli asilimia fulani na uwongo asilimia fulani kutokana na assumptions wanazokuwa wamezifanya ili kuformulate hizo theories na laws zao
Does this apply to atheists as well?!
Okay, from these deductions and inferences, what is more potent - the ''non believing'' or the ''don't know?''
Look, u got me hooked like a script kiddie, back before I even had the chance to shutdown.
Comparing knowledge and belief is like comparing the proverbial apples to oranges, can be done, but hugely useless.
Im out for real now.
---naaah, not so fast sunshine, you gotta stay!
---you forgot!
---yes you can compare apples to oranges in many aspects and come up with something useful. For instance:
---what is their CO2 and O2 input and output respectively per day?
---what is their nutritional values if on-tree ripened or in-basket?
---etc, etc.
Doesn't this equate to scientific knowledge?
So, from above denial, are you really suggesting that non of the knowledge in scientific, politic and artistic endeavors has ever manifested itself from some kind of belief?
My point is, for a comparison to be meaningful, it has to be comparing likes.In your above example you are not comparing apples to oranges, you are comparing their CO2 input (they do not output CO2 I understand).So you will still be comparing likes.
I thought you were going to tell me how to compare miles to kilograms, strictly speaking, that miles are equal to kilograms in an absolute way that o.5 equals 1/2.
What am I talking about, absolutes after saying all that I said?
.....cause you believe in something but you don't know that you believe in it. until you know that you believe in it, you don't know!!!
Okay, fair enough.
I'll try this approach:
Pundit, pls watch this one, thanx.