Wakukute wadau me sipo πeFootball ni backup tu shemeji π
Peke yangu, kama Kuna mwingine sijui. Hapana, sijawahi kimshawishi yeyote. Kwanini unauliza?!!!Habarini wakuu:
vp hapo kwenu ni wangapi mnaotumia mtandao wa JF, au ndo wewe peke yako.? Ushawahi kushawishi mtu ajiunge JF?
Kila mtu ni mhuni tu. ππJinsia yako
Khalas ππWakukute wadau me sipo π
Me too, kwanza eti alikuwa haijui kabisaWengi tu.
Niliwahi mshawishi mtu aingie JF, baada ya week akasema hawezani nayo.
Yeye kazoea IG na Tiktok.
Yeah!!
Ajabu sana.Me too, kwanza eti alikuwa haijui kabisa
Haa kumbeJF Wanatumia hadi wa Songea vijijini, kutoka muhukuru huko.
πππ
Kifupi hata hamna anae ijuaHabarini wakuu:
vp hapo kwenu ni wangapi mnaotumia mtandao wa JF, au ndo wewe peke yako.? Ushawahi kushawishi mtu ajiunge JF?
ππNitajuaje arifu
Ndo hivyo.Haa kumbe
Mpaka kule Namabengo ndanindani πJF Wanatumia hadi wa Songea vijijini, kutoka muhukuru huko.
πππ
Hadi Ngwinde na Litola. πππMpaka kule Namabengo ndanindani π
Leo nimejua upande wako wa pili(Mistari)ππEfootball ipo tuuπ
una nusu ya moyo wangu na nusu iliyobaki inakupenda weweπ₯
Mimi pia niliwahi Fanya hivo.Sijui kwanini mtu anaemia haiwezi.Wengi tu.
Niliwahi mshawishi mtu aingie JF, baada ya week akasema hawezani nayo.
Yeye kazoea IG na Tiktok.