M MAMENGAZI JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 779 Reaction score 129 Jul 15, 2011 #1 Huyu baba alipata kichaa nafikiri
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Jul 15, 2011 #2 jamaa baada ya kulewa akiwa katika harakati za kumchapa mtoto, mama alijifanya kumsaidia mwanae lakini jamaa ameamua kuwatundika wote.
jamaa baada ya kulewa akiwa katika harakati za kumchapa mtoto, mama alijifanya kumsaidia mwanae lakini jamaa ameamua kuwatundika wote.
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Jul 16, 2011 #3 Jamani katoto kalivyoshikwa! Men like that deserve to rot in jail! Because kilichofuata pale we can all tell ni kipigo tu!
Jamani katoto kalivyoshikwa! Men like that deserve to rot in jail! Because kilichofuata pale we can all tell ni kipigo tu!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jul 16, 2011 #4 Hako ni katoto au mdoli?
K Kifuna JF-Expert Member Joined Aug 7, 2008 Posts 443 Reaction score 118 Jul 16, 2011 #5 Mnisamehe watu wa Musoma lakini huyu baba atakuwa ana asili ya huko!
Sokwe Mjanja JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 575 Reaction score 298 Jul 16, 2011 #6 Jamaa anaonekana yuko maji!!
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,276 Jul 16, 2011 #7 Umasikini tuuu..................!
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Jul 16, 2011 #8 Maza aligoma kutoa unyumba nini?
kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 Jul 16, 2011 #9 huyu mlevi tu na masikini. halafu ni mkurya
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,388 Jul 16, 2011 #10 hii picha isha zunguushwa sana humu jamvini. Leta jipya