Hapo Ikulu siku hizi Pazito, Hakukaliki

Hapo Ikulu siku hizi Pazito, Hakukaliki

Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu wa Media
La Kuijaza Burigi
La Nape
La Kabendera
La Kigogo 2014
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] la SADIKI limeyakalia.... Mji mzito huu... Bila connection unaweza kukosa hata maji ya kunywa yale makavu
 
Hata Shekhe Yahya aliwahi kutamba eti anayajua mambo ya ikulu zaidi, hivyo hata wewe kiumbe ni hivyo hivyo, akili hauna kazi kutabiri vitu ambavyo havipo. Nchi kwa sasa ipo vizuri sana, wananchi wanakula bata kwenda mbele
ndo tatizo la watu wa ccm akili zenu sijui mnaziachaga chooni? huo ndio waona ni utabiri?
 
C
Tunajenga SGR, Ndege ziko angani, tunajenga 2000MW, tunajenga daraja busisi pale Mwanza, Elimu bure, Hospitali kila wilaya na madawa tele..... Piga kazi JPM achana na hawa kenge wanakupotezea timing tu..
Chattle International Airport...
 
thread za namna hii zinatushusha hadhi, zinatufanya tuwe wepesi sana.
 
Hata Shekhe Yahya aliwahi kutamba eti anayajua mambo ya ikulu zaidi, hivyo hata wewe kiumbe ni hivyo hivyo, akili hauna kazi kutabiri vitu ambavyo havipo. Nchi kwa sasa ipo vizuri sana, wananchi wanakula bata kwenda mbele
Mimi nmeota mjomba kavuta
 
Hata Shekhe Yahya aliwahi kutamba eti anayajua mambo ya ikulu zaidi, hivyo hata wewe kiumbe ni hivyo hivyo, akili hauna kazi kutabiri vitu ambavyo havipo. Nchi kwa sasa ipo vizuri sana, wananchi wanakula bata kwenda mbele
bata burigi au sio ?
 
Mungu atupe uhai tushuhudie kitakacho tokea 2020, inabidi akubali kukaa pembeni mambo yamezidi kumchanganya na ni mazito kwelikweli...
hahahahaha hizi ndoto zenu ni za alinacha..hazitakaa zitimie..kila siku nawaambia biashara za madili hazilipi kwa sasa, na udalali..tafauteni mashamba mkalime kwa sababu serikali hii itamaliza muda wake 2035. kwa sababu akimaliza Magufuli anakuja mrithi wake Majaliwa..nenda miaka kumi tena. baada ya hapo mtakuwa mmeshanyoroka kabisa..hata madili yenu mtakuwa mmeshayasahau, yamekufa, hayana.wateja na. wengine watakuwa nyumba ya milele...kitakuwa kizazi kipya chenye mwelekeo wa uhakika..
 
Hapa kituo cha afya ikulu jamaa linapitaga tu halitusalimii madaktari, wala wauguzi lina dharau sana
 
Yule Member Anaitwa MAGAMBA MATATU
Yupo Wapi Alete, What's Next!!!!
 
Hata Shekhe Yahya aliwahi kutamba eti anayajua mambo ya ikulu zaidi, hivyo hata wewe kiumbe ni hivyo hivyo, akili hauna kazi kutabiri vitu ambavyo havipo. Nchi kwa sasa ipo vizuri sana, wananchi wanakula bata kwenda mbele
Hawali bata na kamwe hawata kula bata. Bali kwa miafrica ilivyo wanafurahia matajiri kuwekwa ndani na mali zao kutaifishwa. ili wafanane kama wao. ndo furaha ya maskini wengi wapiga kura juani.
Maskini wametumika ili afanikiwe kisiasa. na kweli.
Huwezi kuwa na akili kwa kuua/kuchukia wenye akili.Never ever.

Miswahili ya Bongo haina tofauti na wale wa Africa kusini wanaoita watu kwerekwere, sababu wametusua kimaisha kuliko wao. ni walewale tu,mnafanana, wala msilaumu wa south.
 
Shule za kata na sasa tena elimu bure! Hii Nchi baada ya miaka 10 itajaa " misukule" tupu!
Eti " kuhadisia" ni kuhadithia !
Sema mirathi - utasikia " misukule" inasema " mirasi"!
Rais watasema rahisi

Thawabu -==sawabu
Thibitisha usemi wako= sibitisha usemi wangu

Duuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom