Hapo Ikulu siku hizi Pazito, Hakukaliki

Hapo Ikulu siku hizi Pazito, Hakukaliki

Tunajenga SGR, Ndege ziko angani, tunajenga 2000MW, tunajenga daraja busisi pale Mwanza, Elimu bure, Hospitali kila wilaya na madawa tele..... Piga kazi JPM achana na hawa kenge wanakupotezea timing tu..
Elimu na Hospitali ni USAID na World Bank.. Huyu mshamb aendelee kukopea reli , stiglers gorge na Busisi
 
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu wa Media
La Kuijaza Burigi
La Nape
La Kabendera
La Kigogo 2014
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
Mbona kazi za kawaida sana hizo.
Kwani mafaili yakishughulikiwa unatonywa?
 
Hata Shekhe Yahya aliwahi kutamba eti anayajua mambo ya ikulu zaidi, hivyo hata wewe kiumbe ni hivyo hivyo, akili hauna kazi kutabiri vitu ambavyo havipo. Nchi kwa sasa ipo vizuri sana, wananchi wanakula bata kwenda mbele
Umeona like yangu huko?
 
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu wa Media
La Kuijaza Burigi
La Nape
La Kabendera
La Kigogo 2014
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
Hueleweki wewe ungejuwa kupiga ramli ungeipigia familia yako maana ina mambo kibao unajichanganya tu
 
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu wa Media
La Kuijaza Burigi
La Nape
La Kabendera
La Kigogo 2014
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
Ivi askofu Dr. Shooo
Itabidi atusaidie ktk maombi ya nchi akishirikiana na mkuuuu wa RC Rwaichi kutoka pale kwy Mlima Kilimanjaro
 
Mnavyozidi kumnanga ndivyo mnavyozidi kumuongezea wanaompenda.
 
Mungu atupe uhai tushuhudie kitakacho tokea 2020, inabidi akubali kukaa pembeni mambo yamezidi kumchanganya na ni mazito kwelikweli...
Umesahau aonaongeza miaka miwili pale kwenye tano ili iwe saba.
 
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu wa Media
La Kuijaza Burigi
La Nape
La Kabendera
La Kigogo 2014
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
LA lissu
 
Burigi pundamilia 4 wamegongwa na magari wakiwa wako njiani kurudi loliondo wakiwa na wenzao Mbuni,Fisi na Nyumbu.
 
asiumize kichwa, a 'delegate' hayo majukumu kwa akina kabudi, kwenye 'dodoso' atakuta kawekewa hadi mistari ya zaburi.
 
Write your reply...kama anadhani kuishi magogoni ndio kunamletea mikosi, si ahamie Dodoma! ikulu ya Dodoma imejengwa ili ifanye kazi gani?
Damu za watu hazijawahi kumuacha mtu salama!
Ole wao wakimbizao mienge (mioto)!
 
Back
Top Bottom