Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

Forbes.1. Dr. Dre ($620 million)2. Beyoncé ($115 million)3. The Eagles ($100 million)4. Bon Jovi ($82 million)5. Bruce Springsteen ($81 million)6. Justin Bieber ($80 million)7. One Direction ($75 million)8. Paul McCarney ($71 million)9. Calvis Harris ($66 million)10. Toby Keith ($65 million)11. Taylor Swift ($64 million)12. Jay Z, Diddy, Bruno Mars ($60 million)15. Justin Timberlake ($57 million)16. Pink ($52 million)17. Michael Bublé ($51 million)18. Rihanna ($48 million)19. The Rolling Stones ($47 million)20. Roger Waters ($46 million)21. Elton John ($45 million)22. Kenny Chesney ($44 million)23. Katy Perry ($40 million)24. Jason Aldean, Jennifer Lopez ($37 million)26. Miley Cyrus, Celine Dion ($36 million)28. Muse, Luke Bryan ($34 million)30. Lady Gaga, Drake ($33 million)
Reginald Mengi - Chairman, IPP Ltd ($550M)https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/680443-forbes-reginald-mengi-from-barefoot-to-$550million.html
 
s list ya utajir n list ya waliopga mpunga mwing kwa msmu huu.jay z kapga project chache sana

We umeelewa sanaaa mkuu kuna watu wanaongea ongea pumba tu hapo juuu bila kuelewa mixer matusi duuuh
 
Hizo wametumia vigezo gani wapi oprah winfred, bill gets, na waarabu wa dubai
mc luggy, hayo ni mapato walioingiza 2014 au net worth tokea wameanza hustle?
Wakuu hapo hamna kitu na nilishamuambia mleta Mada mc luggy kuwa hao ni wanamuziki tu wanachezea kwenye milioni mia wakati miradi fixed asset ni saa yoyote itayeyuka km kina Madonna na Mc Jackson
Forbes wanawazungumzia Matajiri km Billy Gates na Melinda kuwa wanaongoza kwa Billioi $90.3 mwaka huu
wa 2014 sio Millioni
The World's Billionaires List - Forbes

#1 Bill Gates$80.3 B$1 K 59MicrosoftUnited States
#2 Warren Buffett$71.6 B$0 84Berkshire HathawayUnited States
#3 Carlos Slim Helu & family$69.5 B$96.7 M | -0.1%74telecomMexico
#4 Amancio Ortega$60 B$0 78retailSpain
#5 Larry Ellison$50.2 B$1.1 M 70OracleUnited States
#6 Charles Koch$40.6 B$0 79diversifiedUnited States
 
Labda kwa kifupi nimueleweshe mc luggy kuwa wanamuziki ni Mamilionea kwa vimuziki vyao
hata kidogo usiwalinganishe na Mwenyekiti wa IPP Bw Mengi au Bw Rugemalila mwenye Mabobo Wine na VIP kwani hapo sijawataa kina Rostam Aziz wa Igunga au Habindr Singh wa Iringa
Tanzania kwa mara ya kwanza tumetoa Billionea aiyewazidi hao Wanamuziki
na kwa mara ya kwanza Afrika tumepata Billionea Dangote kapanda nafasi 20 kwa billioni $20 je hao wanamuziki wa Liabilities kuna hata wa $1bn

Thanks to the tech boom, and strong stock market, the U.S. once again leads the world with 492 billionaires, followed by China with 152 and Russia with 111. But wealth is spreading to new places. We found billionaires for the first time in Algeria, Lithuania, Tanzania and Uganda. Also for the first time, an African, Aliko Dangote of Nigeria, breaks into the top 25. Worth $25 billion, he moves up 20 spots
280x425.jpg
 
Labda kwa kifupi nimueleweshe mc luggy kuwa wanamuziki ni Mamilionea kwa vimuziki vyao
hata kidogo usiwalinganishe na Mwenyekiti wa IPP Bw Mengi au Bw Rugemalila mwenye Mabobo Wine na VIP kwani hapo sijawataa kina Rostam Aziz wa Igunga au Habindr Singh wa Iringa
Tanzania kwa mara ya kwanza tumetoa Billionea aiyewazidi hao Wanamuziki
na kwa mara ya kwanza Afrika tumepata Billionea Dangote kapanda nafasi 20 kwa billioni $20 je hao wanamuziki wa Liabilities kuna hata wa $1bn


280x425.jpg

Haya mkuu umeeleweka ila sija kubishia wala nn nadhani hujanielewa na mm nilikuwa na maana gani but so ishu pamoja umesomeka mkuu
 
Hii naikataa ,inamaana 50 cent hana $ 33 mil? , lil Wayne owner wa cash money iliyomtoa Drake juz juz nae hayupo? Where is birdman? , Kanye West? P Diddy mwaka juz aliingiza $ 120 mil ndan ya mwaka mmoja tu , mwaka Jana aliingiza $ 60 mil , hapo sijagusa miaka ya nyuma , unataka kuniambia ana utajiri wa $ 60 mil tu? hahaha Si kweli
daah kuna watu wapo deep kinoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom