Hapo graduation tu, sijui sendoff itakuaje?

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
32,066
Points
2,000

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
32,066 2,000
Ni graduation kweli,nimeona video yake imetrend Sana WhatsApp.Babrojohanson hiyo.
Duuh! Waliamua aiseeee.Japo sisi wa hali za kawaida huenda ndio tukawa tunaona ni jambo la ajabu huku wenyewe wanaona ni sahihi kuja na utofauti.

Nawaza matokeo yakija vile ambavyo hawajatarajia? 🤔🤔
 

Forum statistics

Threads 1,344,038
Members 515,307
Posts 32,805,607
Top