Chukwu emeka JF-Expert Member Jan 12, 2018 23,410 36,560 Mar 25, 2019 #3 Ndo kwanza anaanza......hajamaliza
Farolito JF-Expert Member Sep 10, 2018 11,634 26,373 Mar 25, 2019 #4 Huyo anachorwa kwa mtindo wa katuni sio picha halisi Sent using Jamii Forums mobile app
bowlibo JF-Expert Member Dec 10, 2011 3,206 2,899 Mar 25, 2019 #5 Kama picha moja niliiona baunsa kashika picha halafu mchora tattoo anaichora, sampuli kama ya farasi fulani hivi, Sasa huyo mchoraji alichokuwa anachora sijui kinafanana na mtoto wa mbwa au nini duuuuu
Kama picha moja niliiona baunsa kashika picha halafu mchora tattoo anaichora, sampuli kama ya farasi fulani hivi, Sasa huyo mchoraji alichokuwa anachora sijui kinafanana na mtoto wa mbwa au nini duuuuu