Hapendi nikimwambia ukweli kuwa sina anachoomba

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini humu jamvini. Natumai mu wazima kabisah .

Nirudi kwenye mada , ni hivi Nina manzi angu moja hivi ambayo kidogo inanishangaza.!

Yani yeye swala kumwambiya sina kwa chochote anachoomba limekuwa tatizo(shida) kwa upande wake.

Kwa upande wake anaona bora nimdanganye yani kuliko kumwambia kwa sasa unachokiomba Mimi sinah.! Sasa kwa jinsi ambavyo nilivyo ni bora tu nimwambie mwanamke sina kuepuka usumbufu kuliko nimuahidi ahadi ambayo najua ya uongo.!

Sasa me nimemjibu tu si unataka kudanganywa bas hamna shida .sasa atakoma kwenye uongo ndo kafika mahala pake..!

NB; mda mwingine tunaamuaga kuwa wema , msitulazimishe kutenda dhambi.
 
Basi akikuchengia usije kulia lia hapa
 
Siku nyingine mtoe tu hizo hela bila kuombwa...mbona wakati mnatongozaga hua hamuombwi ...mkikubaliwa ndo mnaaza kusema subiri mwisho wa mwezi..mara nimetuma shambani...Mara Sina kwa Sasa...

Mara subiria nirudi ...ukirudi.mara ulikua.umenuna.....khaaa.

Nikiona hivi nakaa kando kabisaa...naangalia mambo mengine

Ptuuuu
Sasa wewe ulishaona wapi samaki ambaye umeshamvua tayari yupo kwenye mtumbwi akapewa chambo?
 
Aiseee
 
Basi.... Anza TU kuvua upya
Samaki baharini mbona wapo KIBAO
Tena Kuna kila Aina....samaki flat screen, samaki Wezere, samaki Weusi, samaki weupe, samaki wenye guu la bia na wenye mironjo...

Nenda kavue baba
 
Siku nyingine mtoe tu hizo hela bila kuombwa...mbona wakati mnatongozaga hua hamuombwi ...mkikubaliwa ndo mnaaza kusema subiri mwisho wa mwezi..mara nimetuma shambani...Mara Sina kwa Sasa...

Mara subiria nirudi ...ukirudi.mara ulikua.umenuna.....khaaa.

Nikiona hivi nakaa kando kabisaa...naangalia mambo mengine

Ptuuuu
.......kwan nkikutongoza ndo uanze kuniomba pesa............ntakupa pesa ukiolewa.........coz utakua under my control .....but now upo chn ya wazaz wakooooooooooooooooooooooooooooioooooo
 
Mkuuu...Wewe Huna hela yakunipa unategema boom....
Sio wote wanafanana na Wewe....

Mwanaume hasifiwi six-pack Wala ndevu Kama za Osama..
 
MKUU HUYO ACHNA NAE .......MBAHARIA HATUTOI PESA KWA DEMU .....BALI MKE NDO ANAPEWA PESA
 
Narudia wewe Huna hela...Kuna watu Kama Wewe...hata kuwaomba hela huwezi maaana unakula ukoko huko Mzumbe..

Sasa nikikuomba hela nakuumiza..Wewe Ni wakupewa kwa kuonewa huruma...YAANI masikini Huyu kwa tabu alizonazo ngoja apewe papuchi japo asidosco kwa mawazo
 
Siku nyingine mtoe tu hizo hela bila kuombwa...mbona wakati mnatongozaga hua hamuombwi ...mkikubaliwa ndo mnaaza kusema subiri mwisho wa mwezi..mara nimetuma shambani...Mara Sina kwa Sasa...

Mara subiria nirudi ...ukirudi.mara ulikua.umenuna.....khaaa.

Nikiona hivi nakaa kando kabisaa...naangalia mambo mengine

Ptuuuu
Nikupe hela kwani tunafanya biashara gani
 
KWELI kuna Muda mtu Anaweza akawa Hana PESA...nisichopenda Ni ahadi alafu hazitekelezeki.....i
 
Narudia wewe Huna hela...Kuna watu Kama Wewe...hata kuwaomba hela huwezi maaana unakula ukoko huko Mzumbe..

Sasa nikikuomba hela nakuumiza..Wewe Ni wakupewa kwa kuonewa huruma...YAANI masikini Huyu kwa tabu alizonazo ngoja apewe papuchi japo asidosco kwa mawazo
........Dadeq.......🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom