PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Nina mawazo mengi sana, kazi nyingi sana.... natamani ninapokuwa likizo kupata mtu wa kunifariji... lakini naye ananipa stress tu
Whats funny about love is everyone who loves has something to give. Si kila unachotarajia kupewa kama ishara ya upendo ndicho mwenzio hutoa kama ishara ya upendo. Inawezekana kuna anavyojaribu kukupa ili kukuonesha penzi lake lakini wewe huoni wala husikii wala hutambui kwa sababu tayari kichwani una listi ya vitu ulivyopanga kuwa ukifanyiwa ndio unapendwa.
What is funnier is a person can give you all those u want and still not love you.
Jaribu kumuelewa mwanaume mwenzetu yawezekana kuna anayokufanyia huyaoni. Love is understanding and learning to understand.
By the way akikuletea zawadi kila siku utazoea na utatafuta kingine cha kufanyiwa