Hapendi kutoa

Hapendi kutoa

aiseee....pipo widifa ( wajisemea kabila la kitoweo cha dogi)

yaani umeamka mapema unawaza zawadi....!!??ndo wazo la kwanza au kuna mengine ulianza kuwaza????
 
Nimewaza mengi sana.... hasa kazi zangu
 
Thanx.... but he is jus my future boyfriend.... bado sijakubali proposal yake.... ananifanya nishindwe kukubali

Mdada yaan bado cjakupata,unamwita ur future boyfriend yet hujakubali proposal yake na ukamalizia anakufanya ushindwe kumkubalia..
Sasa kwanini unamwita ur future boyfriend? saivi yeye ni nani? na kutopewa gifts ndio kipengele cha kuzingatiwa kwenye mahusiano yako?
 
unajua yeye ndo nimempa kipaumbele cha kuwa my Bf, kiukweli napenda sana zawadi... sijui kwasababu nimezoeshwa since my childhood, hani nikikosa naona kama huyo mtu hanijali....!!! huo ni udhaifu wangu
 
Ni zawadi za aina gani labda unazopenda?
 
Back
Top Bottom