Hapana chezea ardhi na kozi za kigumu

Hapana chezea ardhi na kozi za kigumu

Okay then; I wish the best to all of you my young brothers toward achieving your targets.

Kaka BILLION, hongera umejitahidi sana kutoa darasa kwa vijana but you've ended to fruitless accomplishment kwasababu ya ubishi wao na kulifanya wajuaji..
"Knowledge is to know that you know less"
Waache vijana wahitimu then waje mtaani wachezeshwe kiduku na maisha..!!
 
Last edited by a moderator:
Kaka BILLION, hongera umejitahidi sana kutoa darasa kwa vijana but you've ended to fruitless accomplishment kwasababu ya ubishi wao na kulifanya wajuaji..
"Knowledge is to know that you know less"
Waache vijana wahitimu then waje mtaani wachezeshwe kiduku na maisha..!!

nakushauri nend jukwaa la kaz afu soma ile thread y adminstrator... W2 hatukurupuki kufany maamuz wew nko Mwk w 3 nmeon meng nna xperience kubw kutok nje huu sio uhasibu interview wa2 5000
 
Last edited by a moderator:
hahaaahaaaa.watoto bana yaani kozi hizo ndo mnasema ngumu...haya bana ...

kozi z kigumu ni zpi... Tafta xku tembelea aru uone kama kun k2 kinaitwa kuwafree pale mapind mpka xaa mbili koz kibao mfn be si chni y 7
 
Vijana bwana!

Kwa kifupi tu, mimi ni mhitimu wa ARU mwaka 2011, kwa sasa ni mwajiriwa wa moja ya mifuko ya kijamii nchini, kwenye kurugenzi ya UWEKEZAJI (mimi nipo kitengo cha uwekezaji kwenye majengo). Kipindi tupo chuo, vijana wengi wa SCEM (ikiwemo hao BE) walikuwa wakipata field kirahisi sana (kwa kuwa makampuni mengi yalikuwa na deal za ujenzi), ila kwa sasa WACHINA wameteka soko na ubaya ni kwamba wachina wanalipa vibaya (kazi unapiga ila mshahara laki 3), hali hii imepelekea vijana wengi kupiga mishe zao mtaani mbali na yale mambo ya kwenye taaluma zao. Binafsi kwenye kurugenzi yetu tuna Quantity Surveyor (QS) mmoja tu, ila kwa sisi tulio soma SRES tupo wanne (4). Kazi za kukadilia gharama ya majenzi kwa sasa ni utata mtupu kwenye ajira, madogo acheni kudanganyana.

kuna tofauti kati y kampuni ya uwekezaji na kampuni ya ujenzi qs kila mwk wanahtimu 90 tu
 
Ume
Vijana wengi tu walio hitimu Ardhi university wapo huku mitaani wanafanya shughuli zingine kabisa nje ya taaluma zao; hii ina maanisha suala la ajira limewaathiri mpaka wao.

Kama ilivyo ada, ni kawaida sana kwa vijana wa mwaka wa kwanza kuamua kudanganyana kuhusu taaluma. Ila niwapeni angalizo tu; ni vyema mtumie muda wenu humu JF kuuliza ili mjue kuliko huu UPUUZI wa kuendelea kupotoshana.

Kumbuka: JF is the HOME of Great Thinkers, umepata fursa ya kujifunza, ULIZA.
Umeongea fact sana kiongozi,yani hawa ndio wale watu ambao wakiwa vyuoni wnakuwa na expectation kubwa sana ila wakiishahitimu wanakuta hali ni tofauti, kwa taarifa yake tu ni kwamba construction industry imekua ngumu mno now Days hata ma qs wenye over 15 years of experience wanalia.
 
Back
Top Bottom