Hapana chezea ardhi na kozi za kigumu

Hapana chezea ardhi na kozi za kigumu

Vijana bwana!

Kwa kifupi tu, mimi ni mhitimu wa ARU mwaka 2011, kwa sasa ni mwajiriwa wa moja ya mifuko ya kijamii nchini, kwenye kurugenzi ya UWEKEZAJI (mimi nipo kitengo cha uwekezaji kwenye majengo). Kipindi tupo chuo, vijana wengi wa SCEM (ikiwemo hao BE) walikuwa wakipata field kirahisi sana (kwa kuwa makampuni mengi yalikuwa na deal za ujenzi), ila kwa sasa WACHINA wameteka soko na ubaya ni kwamba wachina wanalipa vibaya (kazi unapiga ila mshahara laki 3), hali hii imepelekea vijana wengi kupiga mishe zao mtaani mbali na yale mambo ya kwenye taaluma zao. Binafsi kwenye kurugenzi yetu tuna Quantity Surveyor (QS) mmoja tu, ila kwa sisi tulio soma SRES tupo wanne (4). Kazi za kukadilia gharama ya majenzi kwa sasa ni utata mtupu kwenye ajira, madogo acheni kudanganyana.

acha wivu unataka ufaid pekee ako ... Kaa macho vjana wanakuj kukung'oa kwny kitengo
 
Kipindi ambacho naanza chuo hakukuwa na Ardhi, kulikuwa na UCLAS - UDSM, na wengi wetu tulikuwa tukiishi mabibo hostel pamoja na wanafanzi wa MUCHS kwa sasa MUHAS. Nadhani hapa umenielewa.

Kuhusu Real estate, ndio maana nimesema ni vyema kuuliza ili ujifunze uwe nondo kuliko ku-speculate mambo.

Real estate inahusisha taaluma zote za ardhi, yani kila taaluma ipo humo (kasoro BAF). Unaposema real estate una maanisha uwekezaji kwenye ardhi (yaani kuendeleza ardhi kutoka kwenye utupu na kuiwekea jengo).

Kabla ujenzi haujafanyika, ni lazima tafiti ifanyike ili kujua kama ujenzi huo ni potential na una tija (kama ni kwa ajili ya "property investment"). Kazi ambazo hufanywa na mashirika ya kijamii yote nchini, Wakala wa ujenzi wa serikali TBA, makampuni binafsi pamoja na shirika la nyumba la taifa NHC. Hawa wote wana jenga kwa ajili ya kupata faida kutokana na ujenzi huo (Propepty investment).

Ni nani anaefanya tafiti na kupendekeza kuwa mradi utalipa?, si mwingine, bali ni Real estate investment analyst (uwa tunaitwa consultants), na tafiti zetu uitwa Feasibility Studies. Hivyo uchambuzi wote wa jinsi jengo linalo tarajiwa kujengwa upo humo kwenye feasibility study. Gharama za kufanya utafiti utolewa na client, sisi ni kula pesa tu.

Wapi anakuja QS?

QS anakuja pale ambapo gharama halisi za ujenzi zinapo hitajika (bill of quantities), na hii ina msaada kwa client kwani ma-contractor uwa wanazidisha gharama za ujenzi, hivyo hawa QS ni muhimu ku-verify costs kama ni za kweli au zimezidishwa, huku uwa wanalipwa 10% of the construction costs ambayo ina mjumlisha yeye QS, ENGINEER na ARCHTECT au kwa pamoja tunaita professional fees.

Hivyo, kuhusu nani anakula pesa, nadhani jibu utakuwa umepata, feasibility study ni tafiti (minimum it consumes 7 days, hivyo hizo per diem zake ni kula kuku tu). Kijana, suala la mkwanja usiliseme kabisaaa, unajua kwanini nimejipa jina la Billion?! Sio show off.

hayo ndo manen... Sio kuwakatsha tamaa... Pamoja san
 
kwanza niweke sawa kidogo we umeanza chuo 2007 na ardhi imeanza kujitegemea march 2007..so vp kuhusu hiyo udsm !? Kingine mkuu kuhusu mkwanja always quantity surveyor yupo juu coz kama ulivyosema e.g mradi wa milion 800 je 10% ya hiyo pesa ni kiasi gan? ambayo wanagawana quantity surveyor, archtecture, engineer! Pia hata kazi ya u-consultant anawezaa kufanyaa! Pia real estate nimesoma course unit zake kupitia prospectus ya ardhi ni za kawaida zinazidiwa na hata za wale wa SURP..! Kingine usilinganishe QUANTITY SURVEYOR,ARCHITECTURE,ENGENIER na hiyo real estate yako coz tunapoelekeaa huko kazi zako zote watu watatu hapo juu wanazifanyaa, so hauna umuhimu kiviilee..!
NB:kujiita billion co kigezo cha kuwa na ela coz hata mimi huku kitaani kwetu tabata najulikana kwa jina la tilionea..!

Nakaribisha fact kama unazoo

umenena hapo mkuu
 
Last edited by a moderator:
nitoe kwanz pongez kwa wote waliochaguliwa uclas home of construction its a nice chuo aisee kikikuandaa thabiti n ushindani wa ajira lakini kikumbwa ni kwamba chuo kinatoa kozi ambazo ni rahisi kujiajiri eti mfano kozi kama builging economics, archecture environmental engeneering,geomatics na civil engeneering . pili kwa wale waliochaguliwa building economics niseme tu mmebahatika sana kuchaguliwa kozi nzuri sana kwani kwa tanzania inapatikana hapo uclas tu n kwa afrika mashariki na kati inapatikana chuo cha nairobi tu hvyo swala la ajira sio tatizo kabisa kwenu mfano makampuni yot ya ujenzi iwe barabara iwe majengo iwe madaraja iwe migodi ndugu zangu mtahusika aiseeee pia serikali pia hata baki nyuma kuwaajiri ikiwa ni wizara ya ujenzi n ile ya ardhi na makazi kwa ujumla kozi zote ni nzuri na kikubwa ni rahisi kujiajiri kuliko kozi nyinge hapa sitaki maneno wa political science n sociology

kijana waajili wanafanya substitute,kuna ma quantity surveyor kibao.
 
Vijana wengi tu walio hitimu Ardhi university wapo huku mitaani wanafanya shughuli zingine kabisa nje ya taaluma zao; hii ina maanisha suala la ajira limewaathiri mpaka wao.

Kama ilivyo ada, ni kawaida sana kwa vijana wa mwaka wa kwanza kuamua kudanganyana kuhusu taaluma. Ila niwapeni angalizo tu; ni vyema mtumie muda wenu humu JF kuuliza ili mjue kuliko huu UPUUZI wa kuendelea kupotoshana.

Kumbuka: JF is the HOME of Great Thinkers, umepata fursa ya kujifunza, ULIZA.

kweli mkuu bilion,nakumbuka wakat tunaanza advance kila mtu anasifia shule yake,lakn tumeziacha,ipo siku tutamaliza vyuo tutaanza kupambana uraiani,vyuoni si pakudumu,hapo ndo utajua kuna uhusiano gan kati ya chuo ulichosoma na soko la ajira.waliopo kwenye soko la ajira tujuzeni,tuache ujinga wa kujitamba na vyuo wakat hatujui mbelen
 
acha kupotosha wewe..labda hao wamemaliza information systems management au economics lakini si hizo course alizotaja hapo juu..mna chuki za kike kama mna mimba..
 
kweli mkuu bilion,nakumbuka wakat tunaanza advance kila mtu anasifia shule yake,lakn tumeziacha,ipo siku tutamaliza vyuo tutaanza kupambana uraiani,vyuoni si pakudumu,hapo ndo utajua kuna uhusiano gan kati ya chuo ulichosoma na soko la ajira.waliopo kwenye soko la ajira tujuzeni,tuache ujinga wa kujitamba na vyuo wakat hatujui mbelen

mada inazungumzia marketabilty n selfemployment y kozi znazotolew ardhi na wala cjidaii ni chuo cha ngap au ni bora kivip...
 
kijana waajili wanafanya substitute,kuna ma quantity surveyor kibao.

sio weng kivil kwk kil mwk wanahitmu w2 mia n ushehe tanzania nzma.....hat hvy nafas pia kibao som hpo juu vzur....idadi hi hauwez linganish n koz nyngne ambz pia zinatolew n vyuo vingi
 
Kama ambavyo nimesema hapo awali, tatizo la vijana wengi humu ni kujifanya wajuaji wakati kiuhalisia hamjui kitu. Ni vyema sana kuuliza kuliko hii hali ya majibizano, kwa hali hii mtaishia kupata matonye ya maji wakati mlikuwa na uwezo wa kumiliki bahari. Jaribuni kuwa waungwana na mjifunze kuuliza.

Ni hivi - hapa Tanzania mtu yeyote ambae ajasajiliwa na ACHTECTS AND QUANTITY SURVEYORS REGISTRATION BOARD (AQRB) na kupewa muhuri wa usajili, HARUHUSIWI kufanya shughuli za kukadilia gharama za majenzi. Hii ipo kisheria.

Kikwazo hiki kimekuwa ni changamoto kubwa kwa wahitimu wa Building Economics kujiajiri wenyewe na kuweza kujipatia kipato, hivyo ina walazimu wawafanyie kazi wale wenye mihuri (ambao wamesajiliwa na bodi) ambao idadi yao haifiki 400 nchi nzima (hii inatokana na mihuri kubanwa sana).

Kitendo cha mihuri kubanwa kupewa kwa wahitimu, kimefanya wale wenye mihuri kuwapa kipato kidogo wale wasio na mihuri kwa imani kuwa hawana option nyingine. Nadhani mkifika Ardhi mtauliza kuhusu hili ili muweze kuelewa kiundani ni nini kinaendelea katika kupunguza au kuondoa kabisa changamoto hii.
 
Kwa upande wa SCEM soko kubwa la ajira liko wapi kwa watu wanaosoma kozi hiyo?
 
Kipindi ambacho naanza chuo hakukuwa na Ardhi, kulikuwa na UCLAS - UDSM, na wengi wetu tulikuwa tukiishi mabibo hostel pamoja na wanafanzi wa MUCHS kwa sasa MUHAS. Nadhani hapa umenielewa.

Kuhusu Real estate, ndio maana nimesema ni vyema kuuliza ili ujifunze uwe nondo kuliko ku-speculate mambo.

Real estate inahusisha taaluma zote za ardhi, yani kila taaluma ipo humo (kasoro BAF). Unaposema real estate una maanisha uwekezaji kwenye ardhi (yaani kuendeleza ardhi kutoka kwenye utupu na kuiwekea jengo).

Kabla ujenzi haujafanyika, ni lazima tafiti ifanyike ili kujua kama ujenzi huo ni potential na una tija (kama ni kwa ajili ya "property investment"). Kazi ambazo hufanywa na mashirika ya kijamii yote nchini, Wakala wa ujenzi wa serikali TBA, makampuni binafsi pamoja na shirika la nyumba la taifa NHC. Hawa wote wana jenga kwa ajili ya kupata faida kutokana na ujenzi huo (Propepty investment).

Ni nani anaefanya tafiti na kupendekeza kuwa mradi utalipa?, si mwingine, bali ni Real estate investment analyst (uwa tunaitwa consultants), na tafiti zetu uitwa Feasibility Studies. Hivyo uchambuzi wote wa jinsi jengo linalo tarajiwa kujengwa upo humo kwenye feasibility study. Gharama za kufanya utafiti utolewa na client, sisi ni kula pesa tu.

Wapi anakuja QS?

QS anakuja pale ambapo gharama halisi za ujenzi zinapo hitajika (bill of quantities), na hii ina msaada kwa client kwani ma-contractor uwa wanazidisha gharama za ujenzi, hivyo hawa QS ni muhimu ku-verify costs kama ni za kweli au zimezidishwa, huku uwa wanalipwa 10% of the construction costs ambayo ina mjumlisha yeye QS, ENGINEER na ARCHTECT au kwa pamoja tunaita professional fees.

Hivyo, kuhusu nani anakula pesa, nadhani jibu utakuwa umepata, feasibility study ni tafiti (minimum it consumes 7 days, hivyo hizo per diem zake ni kula kuku tu). Kijana, suala la mkwanja usiliseme kabisaaa, unajua kwanini nimejipa jina la Billion?! Sio show off.

Dah mkuu upo vizuri
 
Kama ambavyo nimesema hapo awali, tatizo la vijana wengi humu ni kujifanya wajuaji wakati kiuhalisia hamjui kitu. Ni vyema sana kuuliza kuliko hii hali ya majibizano, kwa hali hii mtaishia kupata matonye ya maji wakati mlikuwa na uwezo wa kumiliki bahari. Jaribuni kuwa waungwana na mjifunze kuuliza.

Ni hivi - hapa Tanzania mtu yeyote ambae ajasajiliwa na ACHTECTS AND QUANTITY SURVEYORS REGISTRATION BOARD (AQRB) na kupewa muhuri wa usajili, HARUHUSIWI kufanya shughuli za kukadilia gharama za majenzi. Hii ipo kisheria.

Kikwazo hiki kimekuwa ni changamoto kubwa kwa wahitimu wa Building Economics kujiajiri wenyewe na kuweza kujipatia kipato, hivyo ina walazimu wawafanyie kazi wale wenye mihuri (ambao wamesajiliwa na bodi) ambao idadi yao haifiki 400 nchi nzima (hii inatokana na mihuri kubanwa sana).

Kitendo cha mihuri kubanwa kupewa kwa wahitimu, kimefanya wale wenye mihuri kuwapa kipato kidogo wale wasio na mihuri kwa imani kuwa hawana option nyingine. Nadhani mkifika Ardhi mtauliza kuhusu hili ili muweze kuelewa kiundani ni nini kinaendelea katika kupunguza au kuondoa kabisa changamoto hii.

vzuri kama ndo hvyo makampuni y ujenzi y w2 binafsi mbn kil kukicha yan tiririka.... Sometimes u hv to thnk globally aisee kozi inatolew Tanzania n keny 2 kwhy sio lazma ung'ang'anie tanzania wakat Uganda quality surveyor ni kam semi god
 
Okay then; I wish the best to all of you my young brothers toward achieving your targets.
 
Back
Top Bottom