Hapa Wapi?

Ndio maana wanatumia muda mfupi kutoka Durban hadi Kasalumbesa kuliko kutoka Dar.

Aisee, Ukitoka Durban to Kasumbalesa ni kilometer 2750 ambapo ni mwendo wa masaa zaidi ya 35 (2 days and 14 hours). Lakini ukitoka Dar to Kasumbalesa ni Km 1958, mwendo wa masaa 27 ( 2 days and 3 hours). Anayetokea RSA atafika mapema kuliko anayetoka bongo kwa sababu ya ukiritimba njiani (Bureaucracy). wenzetu wanatembea usiku na mchana na barabara zao ni nzuri pia. Hata hivyo, Road toll njiani zinapoteza muda ikiwa pamoja na speed limit. hapo lazima utofauti uwepo...
 
hiyo ni barabara.
Ha ni nimesahau kidogo, hebu mtoa uzi nikumbushe. Mambo mengi sana kichwani. Siunajua nina stress kibao sana. Hii awamu ikipita inabid nijipongeze kbsa
 

Gari za wasauzi ni nzuri kinoma. Barabara zao ni tambarare kuliko kwetu.

Wana uwezo wa kutembea masaa 24 na kufika.
 
Hongera sana. Umepatia.
Natamani nikupe zawadi, nikikuwa na uhakika hakuna angepajua.
Unapita sana maeneo hayo?

Sasa danger hill barabara ya kwenda wapi kwa faida ya wengine? Uandishi gani huu bana? Pls tell us wengine hatujafika tunatamani kupajua!
 
Sasa danger hill barabara ya kwenda wapi kwa faida ya wengine? Uandishi gani huu bana? Pls tell us wengine hatujafika tunatamani kupajua!

Hiyo ipo ukiwa upande wa Zambia kutoka Tunduma.
Hiyo ni sehemu inayoongoza kwa ajali kwasababu ya mteremko na kona kali.
 
On da way to dodoma ila kijiji sikijui
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…