Tema mate niwachape...lol
Katika michezo ambayo siipendi duniani - kikapu namba moja(samahani kwa nitakaowakwaza) mchezo wa kikapu siupendi/siukubali/siuelewi na sihitaji kuuelewa, kifupi siupendi
we mwenyewe hujui ni wapi ndio maana unauliza, sisi tutajuaje sasa?
I give up, you winKwani usichokielewa lazima usikipende?
Ndugu yangu sina nia mbaya, ni mchango wangu tu, na mimi najitahidi kutupia tupia michango japo na mimi idadi ya michango iongezeke
Sorry if I offended you, nothing personal
UbarikiweChangamoto sioo....basi poa mkuu