Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,226
- 17,975
😅😅 kwani tumezoea kukaguliwa silaha, na vitu vingine ambavyo unaweza kutumia kujeruhi watu lakini naona wanapita nazo tuWaufukweni, swali lako limenichekesha sana! 😂 Hapo sasa ndio utata unapoanzia kabisa. ila wao hawatokosa jibu,
😅😅😅 usikute wanakagua mabomulabda visu au bastora ya dharura😀
Viwembe na upupu😅😅😅 usikute wanakagua mabomu