Hapa vipi?

Hapa vipi?

Bila kumsahau Mapungo striker wa Bush stars
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bush stars waliwahi kuingia na magongo uwanjani baada ya kuchezewa rafu na refa kuwabeba tim pinzani.

Siku moja mapungo aliingia ulingoni kwenye ngumi akamtia mtu kabari ya miguu kwenye shingo[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu mechi zao karibu zote dakika za mwisho/majeruhi lazima goli lifungwe
Duh umenikumbusha mbali kipa wao alikuwa ni Madenge au Mzee Meko?
 
d884d2ef0b08548571e1fce052202d9c.jpg

Wasukuma bhana
 
Wala, siyo Wasukuma hawa, ni akina nanihii...
 
Back
Top Bottom