Madem was kitaa chenu
Huyu jamaa ni bonge la inventor mcheki youtube kwa jina colinfurze jamaa anatengeneza vitu ambavyo kiwanda au makampuni yanagharamia mailioni.View attachment 397751
Wazungu bhana
Chief mkwawa hua hatoi like kwa mtuu toka 2011 had I 2017 katoa like 1.Unamzungumzia nani mkuu ?
Leo uneamua kuweka picha yako
Tupia vya madenge kama vipo