Hii kitu kama nimeshaiona KM chache tu kuingia mjini Kahama ukitokea Tinde/Isaka/Kagongwa
Iko pembeni kidogo tu barabara kuu ya Kutoka Kahama kwenda Shinyanga/Nzega kupitia Tinde. Haiko mbali sana kutoka pale Kahama takribani 5-6km tuNi kweli hiyo shule ipo ila sina uhakika ni sehemu gani
Hutaijua kwamba imetengenezwa namna hiyo!!Sili hiyo![]()
![]()
![]()
![]()
Ulikuwa msiba wa msanii gani huo?View attachment 373013
"Rahisi" wa misiba
Ooh sawaKanumba