Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,463
- 65,772
Je hapa una ongeza nini ili usiku wako uende vzr kuliko janaaa
Haha bado kidogJohn Walker inatosha, nalala na viatu
Mshaanza usenge wenu kipind kama hichi unawazaje kuwaza ujinga huu
Mtu unaishi kikatiti huko unaandika ujinga tu
Naongeza kuwalabua mafisadi na machawa wa kisiihasa kelebu la mdomo!
Poa sipo moroMambo vip
Ijumaa Nina tenda ya Kuja kupika kwenye harus apo melela kibaoni Moro wadau WA uko tuonane itakua poa,tenda ipo mwez huu tarehe 15
Kwamba ni kama umekula matundaMi nikila hivo ndo sasa napata nguvu ya kula vizuri
Vyakula vya kwenye Camera siviweziKwamba ni kama umekula matunda
AhahhVyakula vya kwenye Camera siviwezi
Complex carbohydrate kama muhogo, gimbi, kiazi kitamu etc. Healthy as it may be
For sureAa
Complex carbohydrate kama muhogo, gimbi, kiazi kitamu etc. Healthy as it may be