Hapa uchawi unahusika?

Hapa uchawi unahusika?

Asanteni sana ninapata mawazo na michango ya maana sana ambayo naamini italeta suluhisho la kudum la tatizo hili
 
Naww unakomalia mali za urithi wakat ulikuwa na kazi yako, muone mshana jr ndio kiboko yao
 
Naww unakomalia mali za urithi wakat ulikuwa na kazi yako, muone mshana jr ndio kiboko yao
Nugu mgiriki nimesema sijawahi zungumza kuhusu mali hata siku moja yaan hata kukanyaga tu nyumbani ilikuwa ni lazima kuwe na ishu kubwa sana nilimwachia kila kitu ila tatizo lilianza pale tu alipoolewa na huyu mganga
 
kaka sijamdhulum chochote yaan mi nlikuwa msaada mkubwa kwake wakati nasoma boom langu ndilo lilikuwa linaendesha maisha yake na yaangu mpaka pale mahakama ilipoidhinisha usimamizi wa mirathi uwe kwake ndipo alipoanza hizo fujo na huwa anasema mimi si mtoto wa yule baba hivyo sina haki ya chochote,hilo la mali mimi sikujihusisha nalo maana nilikuwa natafuta zangu na nilifanikiwa ila mzozo ulipanda kwa kuambiwa si wa baba yake....pia shemeji ndo anachochea ili apate kuzitumia pesa hizo
Lkn baba mwenyewe si ameshatangulia mbele ya haki? Kama yeye hakukukataa mtu mwingine tu atamwakilishaje?
....mali ya baba inatutoa roho bora nikae peembeniii, niinusuru roho yangu mie, ninusuru mama roho yangu mie Harunaaa... R. I. P TX
 
Dah... wewe vipi bana? MVULANA mzima unagombea mali na dada yako? Komaa bana tafuta zako.. ...lakini pia naomba namba ya shemeji yako anikomeshee mtu humu ndani ya JF
 
Mkuu mali hutafutwa. Kama dada yako anakutenga kwa ajili ya mali then huyo ni kumuogoba sana. Nenda waone na kuwaambia kwa roho nyeupe kiroho safi umeewachia mali. Mrudie mungu rudi kundini. Utaona mabadiliko makubwa. usisahau kuleta mrejedho
 
habari ya kazi wakuu!,
mimi ni mvulana wa miaka 31 na nimehitim degree ya uhasibu mwaka 2011. Mwaka huo huo nlipata kazi kwenye kampuni binafsi na maisha yakawa yanaenda vema tu mpaka mwaka 2014 mwezi wa 3 ndipo maisha yakabadilika nakuwa hayaeleweke....
ni kwamba mwaka 2012 nliingia katika ugomvi na dada angu wa baba na mama mmoja tukuzozana juu ya mali za urithi wa wazazi wetu. Dada alinipigia simu na kuahidi kuwa atanikomesha na shemeji yan mume wa dada akasisitiza lazima niwajue (ieleweke shemeji ni nmganga wa kienyeji) basi siku chache nikafukuzwa kazi bila sababu za msingi,nkapata kazi tena lkn nikafukuzwa pia na matatizo yakawa yanaendelea yan watu wananichukia bila sababu mara ugomvi na mke wangu hauishi tena usio na kichwa wala miguu,ndoto za ajabu ajabu hasa kuota napigana na watu nisiowajua au nawajua,kila nachofanya hakifanikiwi hata kama ntakuwa makini sana,hvi sasa sina muelekeo wa maisha na kila kitu hovyo kabisa.....
Je naweza nisaidiwa vp kujiondoa ktk janga hili?,kuna uwezekano kwel mtu akavuruga mipango yako kimazingara?
I 31 mvulana
 
Nugu UTAMSAIDIAmgiriki nimesema sijawahi zungumza kuhusu mali hata siku moja yaan hata kukanyaga tu nyumbani ilikuwa ni lazima kuwe na ishu kubwa sana nilimwachia kila kitu ila tatizo lilianza pale tu alipoolewa na huyu mganga
fuata ushauri wa MAOMBI HASA YA ALIEKUPA MAANDIKO. Utamsaidia hata huyo dada yako. sasa anakuchukia ila baadae atakupigia magoti. huyo mganga ndie anazitaka hizo MALI. Baadae atakuja kumvuruga huyo dadako. USHAURI WANGU fuatilia maombi ya huyo aliekupa maandiko ya bible. mPM akuelekeze. MALI ZA URITHI KILICHO HaKI YAKO USIACHE NA HAKUNA KITAKACHOKUDHURU. MAMBO YAKO YATANYOKA NA MBINU ZA SHEMEJI ZITAYEYUKA. NGUVU ZA MUNGU ZITATEKETEZA UCHAWI WOTE WA HUYO MGANGA na akijifanya jeuri atakufa. KUWA NA MSIMAMO. WENGI WAnashindwa kwa kutosimamia maandiko na MAFUNDISHO. Na hutatumia pesa kwa njia hii. ni juu yako kumrudishia sadaka ya shukrani Mungu kwa yale makuu aliokutendea hapo yatakapokwisha. Utatuletea mlejesho humu. Chukua hatua sasa!
 
Uchawi huo utakusumbua maana anae kuloga ni ndugu yako wa damu halafu mumewe yaani shemejio ndio mpiga ramli kwahyo mzee huchomoki cha kufanya nenda kwa mkali zaidi yao yote yataisha hayo.
 
Uchawi huo utakusumbua maana anae kuloga ni ndugu yako wa damu halafu mumewe yaani shemejio ndio mpiga ramli kwahyo mzee huchomoki cha kufanya nenda kwa mkali zaidi yao yote yataisha hayo.
mkali zaidi yao anapatikana wapi
 
Mrudie Mungu wako Na uombe sana nguvu hizo za Giza uzishinde
 
Mkali zaidi ni mungu,wewe zingatia maombi na uwe na imani utafanikiwa ahitaji yako
 
You can turn the other cheek and walk away. But sometime you gotta fight to prove that you are a man.

Siyo kila kitu umwachie Mungu hata pale haki yako inapotaka kupokonywa na wabinafsi tena kwa jeuri. Ikibidi pigania au tafuta haki yako kwa kufuata taratibu za kisheria kwani wadhurumaji duniani hawaishi na wakishagundua wewe ni mmoja wa wanaopenda kusema "mimi namwachia Mungu" kamwe hawatakuonea huruma. Tafuta haki yako kwa kufuata sheria na pia kumshirikisha Mungu.

Kuhusu hofu ya kuchezewa na dada yako na mmewe ili mambo yako yaharibike nakushauri kama wewe ni mkiristo uwaone wachungaji au shehe kama ni muislamu na wakati huo huo nawe ujichunguze tabia na utendaji wako wa kazi ofisini kama havichangii kuharibu mambo yako.
 
Nenda katka makanisa ya kiroho ukaombewe na uokoke ndyo tiba yko,,
 
Uchawi huo utakusumbua maana anae kuloga ni ndugu yako wa damu halafu mumewe yaani shemejio ndio mpiga ramli kwahyo mzee huchomoki cha kufanya nenda kwa mkali zaidi yao yote yataisha hayo.
Kwenda kwa mganga ni Ushauri wa kiPUMBAVU kabisa!....Tangu lini shetani akawa na uwezo wakumtoa Shetani mwenzie....Wewe ndg mleta mada kwa wote walioharibikiwa Mtegemeeni MUNGU nyakati zote sio mkiwa vzr mnajifanya wajuaji mkipigika mnamtafuta MUNGU....umesema ulikuwa unasali badae ukaacha huenda kipindi ulichokuwa njema....Nakushauri msaada wa kweli unapatikana kwa MUNGU wakweli tu sio yule wa KUSHONA chakufanya nikutafuta Mafundisho sahihi ya MUNGU jifunze BIBLIA Maneno ya MUNGU yakae kinywani mwako....Kitu kikubwa ni TOBA na kusamehe MATHAYO 6:14....soma pia MITHALI 4:23...Moyo wako ukiwa na Kinyongo na Mtu hakuna kitu utafanikiwa kitu kingine mpaka hapo ulipo uko kwenye Ufalme wa Giza so kujitoa humo inatakiwa kufanya Maombi ya VITA kwa kumaanisha...kwakuwa unamtafuta MUNGU wakati umechapika na MUNGU hata kujibu kurahisi so inatakiwa upambane kwelikweli...MUNGU hatakuacha....Halafu sijui kwanini hizi mada zinakuwa zinajirudiarudia humu
 
mkali zaidi yao anapatikana wapi

Mkali zaidi ya wote hao ni Yesu tu.
Fanya mambo haya matatu yatakusaidia sana.
1. SAMEHE - Yule ni dadako na bado atabaki kuwa dadako, msamehe bure. Ondoa kinyongo kwa dadako, mwachie mali zote hata kijiko usichukue wala usitamani. TAFUTA MALI YAKO

2. TUBU - Tubu dhambi zako zote ulizofanya. Mungu ni mwaminifu atakusamehe. Pia tubu kwa ajili ya dadako, naamini tamaa ya mali tu ndio inamsumbua.

3. SALA - Sali sana, FUNGA NA KUOMBA. Utamuona Mungu akitenda. Ombea familia yako kwa ujumla, mkeo watoto waombee sana. Omba Roho ya upatanisho na mkeo na watoto, Mungu arudishe kazi yako, furaha, na amani moyoni mwenu wote.

Ukifanya haya yote, Mungu ni mwaminifu hatokuacha. Kila la kheri ndugu.
 
Mimi nikisikia hadithi ya dini naona kama watu wamekata tamaa ya maisha.We umeshamjua mbaya wako ni mme wa dada yako alafu unamchelewesha! Nakwambia utazunguka makanisa yote na utotatua tatizo masta simama kiume. Ningekua mimi uyo jamaa angeshakua marehemu siku nyingi kwa mikono yangu acha kulia lia nenda front man
 
Back
Top Bottom