Hapa tuseme :" KIMEUMANA"

Hapa tuseme :" KIMEUMANA"

Walikuwa wanatoka kwenye kampuni yao ya kimasai na jamaa Yao alipigiwa simu kueleza
Kifupi kuwapata ni rahisi maana bado lazima watashirikiana na wamasai wengine na hapo ndio watapotea
 
Mmasai kumpata rahisi huko kwao sio mjin mkuu. We mpaka sahiv utajua yuko mkoa gani? Na hana ndugu wa kumtrace? Hata mkoa aliotoka tu kuja hapo alipofanya tukio kuujua sio kitu kidogo
 
Hapa tuseme KIMEUMANA, Polisi kazi wanayo!!

Habari zenu wanajukwaa!

Hii habari ya morani wa kimasai kumuua bosi wao ambaye ni "MUWEKEZAJI" toka nchini China imenifikirisha sana!

Kinachonifikirisha ni kwamba : KAMA ALIYEUAWA ANGEKUWA MTU WA KAWAIDA nguvu ya kumtafuta muuaji pia ingekuwa ya kawaida au polisi wangemtafuta muuaji kwa kufanya upelelezi wa kawaida.

Changamoto kwa polisi ni kwamba pamoja na kwamba aliyeuawa sio mtu wa kawaida ,aliyeua au waliyoua pia siyo watu wa kawaida.

TUKIANZA NA MTU ALIYEUAWA ni muwekezaji au tuseme mfanya biashara toka nchi ya kigeni ambaye alikuwa akiishi nchini kihalali.

Bila shaka polisi wanajua kuwa wachina na wafanyabiashara wa kigeni wote habari hii wataifatilia kwa umakini mkubwa bali sio wachina tu hata balozi wa China nchini lazima afatilie polisi wanachukua hatua gani dhidi ya watu waliomuua raia wa nchi yao ndio maana nikasema polisi watalazimika kufanya zaidi ya upelelezi wa kawaida kwa sababu aliyeuawa siyo mtu wa kawaida!

Tukirudi upande wa wauaji , WAMASAI KWA UJUMLA WAO NINAVYOWAJUA MIMI SIO WATU WA KAWAIDA!.

Kuna mtu aliwahi kuandika humu mitandaoni kwamba pamoja na kwamba jijini Dar esa salam mchana katika mizunguko yake anakutana na wamasai wengi wakifanya shughuli hizi na zile, lakini HAJAWAHI KUPANGA CHUMBA NYUMBA MOJA NA MMASAI!.

Alichomaamisha ni kwamba pamoja na kwamba wamasai tunaishi nao na kukutana nao masaa ya mchana katika mizunguko yetu ya kila siku lakini HAKUNA ANAYEJUA WALA ANAYETAKA KUJUA WAMASAI WANALALA WAPI!.

Tikiachana na hoja ya WANALALA WAPI! ni kwamba wamasai wao wenyewe kwa makusudi na kwa malengo maalumu wamejitengenezea mazingira yanayowafanya waonekane kwamba SIYO WATU WA KAWAIDA!
Mmasai anapojikuta katika ugomvi na mtu au watu wengine ambao siyo wamasai hujifanya mwehu,chizi fulani au mtu asiyeelewa anachoambiwa kwahiyo anaweza kupiga , kujeruhi na hata kuua na kuondoka kwa kuona kuwa watu hawawezi kumfanya chochote kwakuwa anatisha kwa uwendawazimu wake!

Masiku ya karibuni paliwahi kutoka kipande cha video kinachoonyesha wamasai wakiwakimbiza na kuwapiga askari wanaolinda ufukweni kule Zanzibar.

Mwaka 1999 wakati kuna ukamataji wa watu ambao hawajalipa KODI YA MAENDELEO AU KODI YA KICHWA, nilishuhudia jijini Mwanza ( wakati huo ilikuwa manispaa) mgambo alimsimamisha mmasai na kumtaka aonyeshe lisiti ya malipo ya kodi ya maendeleo! ( Wakati huo ilikuwa lazima kutembea na lisiti ya malipo ya kodi kama umeishalipa )

Yule mmasai aliruka juu na alivyotua alikuwa tayari kashika sime mkononi wale mgambo wakatimua mbio kuokoa maisha yao na mmasai akaendelea na mishemishe zake.
Lakini pia wamasai wanafanana na wanaishi kwa kulindana.

Unaweza ukaishi na mmasai mwaka mzima na usijue jina lake zaidi ya kumuita "Masai au Lafiki "
Ukimsalimia utamwambia "JAMBO RAFIKI NA YEYE ATAKUJIBU HIVYO HIVYO JAMBO LAFIKI"
Moja ya ugumu wa kufatilia kesi ya mmasai ni kwamba majina yao wanayajua wao wenyewe kwa kuwa sisi tunawaita " Masai au Lafiki"

HATUJUI WALA HATUTAKI KUJUA MAJINA YAO.
Jambo jingine ni kwamba mmasai anaishi sehemu yoyote na mazingira ya aina yoyote.
Mvua,jua na uchafu kwake siyo tatizo.

Pia anao uwezo wa kusafiri kwa njia yoyote kwenda popote na kwa usafiri wa aina yoyote ikiwa pamoja na miguu yake mwenye na akafika popote hata kama ni mbali sana.

Muda huu ambao polisi wanadai kufanya uchunguzi wa kina wauaji wanaweza kuwa wanakaribia kufika Ngorongoro au mkoa mwingine wowote mbali na Dar Es Salaam.

Jambo jingine ni kwamba mmasai anapofanya kosa huwa wamasai wenzake wanataratibu zao za kimila za
kumkanya na ikiwa pamoja na kumtoza faini kwa taratibu zao za mila za kimasai.

Kwahiyo kwakuwa tunawaona wamasai mijini na hakuna anayejua wametokea mkoa wala wilaya gani kama ambavyo mijini hatuna utamaduni wa kufatiliana na kuulizana bila sababu, kwahiyo hata kama hapo Dar Es Salaam kuna wamasai wenzake wanaomjua haitakuwa rahisi kwa wamasai wenzake kutoa taarifa zinazoweza kusaidia kukamatwa kwake kwa vyombo vya dola, watazuga kama vile hakuna
Madai wenyewe kwa wenyewe wanauana Sana huko umasaini, lakini hutokuja kusikia kesi umeenda Mahakamani. Hawa jamaa Wana utamaduni wakulindana sana
 
Mmasai kumpata rahisi huko kwao sio mjin mkuu. We mpaka sahiv utajua yuko mkoa gani? Na hana ndugu wa kumtrace? Hata mkoa aliotoka tu kuja hapo alipofanya tukio kuujua sio kitu kidogo
Mkuu amini Hawa ni rahisi zaidi kuwakamata kuliko Hawa raia wa kawaida we jipe muda na usikute wako nguvuni mda tu.
 
Saiv anaitafta namanga akifka anaikamata KAJIADO hapo ni kenya namasai hana cha paspot wala nin masai kuanzia sudan kenya mpaka tanzania anaitwa masai
 
Mimi niulize hivi kwanini wamasai wanatembea na sime kwenye mikusanyiko ya watu wengi wala haionekani kama ni hatari

Lakini mtu mwingine asie mmsai akitembea na sime ile ile ya masai huonekana kama tishio la usalama
 
Bro kwa ulivyowachambua mambo ni mawili. Uliishi umasaini au wewe n mmasai. Umewachambua vizuri sana
 
Hapa tuseme KIMEUMANA, Polisi kazi wanayo!!

Habari zenu wanajukwaa!

Hii habari ya morani wa kimasai kumuua bosi wao ambaye ni "MUWEKEZAJI" toka nchini China imenifikirisha sana!

Kinachonifikirisha ni kwamba : KAMA ALIYEUAWA ANGEKUWA MTU WA KAWAIDA nguvu ya kumtafuta muuaji pia ingekuwa ya kawaida au polisi wangemtafuta muuaji kwa kufanya upelelezi wa kawaida.

Changamoto kwa polisi ni kwamba pamoja na kwamba aliyeuawa sio mtu wa kawaida ,aliyeua au waliyoua pia siyo watu wa kawaida.

TUKIANZA NA MTU ALIYEUAWA ni muwekezaji au tuseme mfanya biashara toka nchi ya kigeni ambaye alikuwa akiishi nchini kihalali.

Bila shaka polisi wanajua kuwa wachina na wafanyabiashara wa kigeni wote habari hii wataifatilia kwa umakini mkubwa bali sio wachina tu hata balozi wa China nchini lazima afatilie polisi wanachukua hatua gani dhidi ya watu waliomuua raia wa nchi yao ndio maana nikasema polisi watalazimika kufanya zaidi ya upelelezi wa kawaida kwa sababu aliyeuawa siyo mtu wa kawaida!

Tukirudi upande wa wauaji , WAMASAI KWA UJUMLA WAO NINAVYOWAJUA MIMI SIO WATU WA KAWAIDA!.

Kuna mtu aliwahi kuandika humu mitandaoni kwamba pamoja na kwamba jijini Dar esa salam mchana katika mizunguko yake anakutana na wamasai wengi wakifanya shughuli hizi na zile, lakini HAJAWAHI KUPANGA CHUMBA NYUMBA MOJA NA MMASAI!.

Alichomaamisha ni kwamba pamoja na kwamba wamasai tunaishi nao na kukutana nao masaa ya mchana katika mizunguko yetu ya kila siku lakini HAKUNA ANAYEJUA WALA ANAYETAKA KUJUA WAMASAI WANALALA WAPI!.

Tikiachana na hoja ya WANALALA WAPI! ni kwamba wamasai wao wenyewe kwa makusudi na kwa malengo maalumu wamejitengenezea mazingira yanayowafanya waonekane kwamba SIYO WATU WA KAWAIDA!
Mmasai anapojikuta katika ugomvi na mtu au watu wengine ambao siyo wamasai hujifanya mwehu,chizi fulani au mtu asiyeelewa anachoambiwa kwahiyo anaweza kupiga , kujeruhi na hata kuua na kuondoka kwa kuona kuwa watu hawawezi kumfanya chochote kwakuwa anatisha kwa uwendawazimu wake!

Masiku ya karibuni paliwahi kutoka kipande cha video kinachoonyesha wamasai wakiwakimbiza na kuwapiga askari wanaolinda ufukweni kule Zanzibar.

Mwaka 1999 wakati kuna ukamataji wa watu ambao hawajalipa KODI YA MAENDELEO AU KODI YA KICHWA, nilishuhudia jijini Mwanza ( wakati huo ilikuwa manispaa) mgambo alimsimamisha mmasai na kumtaka aonyeshe lisiti ya malipo ya kodi ya maendeleo! ( Wakati huo ilikuwa lazima kutembea na lisiti ya malipo ya kodi kama umeishalipa )

Yule mmasai aliruka juu na alivyotua alikuwa tayari kashika sime mkononi wale mgambo wakatimua mbio kuokoa maisha yao na mmasai akaendelea na mishemishe zake.
Lakini pia wamasai wanafanana na wanaishi kwa kulindana.

Unaweza ukaishi na mmasai mwaka mzima na usijue jina lake zaidi ya kumuita "Masai au Lafiki "
Ukimsalimia utamwambia "JAMBO RAFIKI NA YEYE ATAKUJIBU HIVYO HIVYO JAMBO LAFIKI"
Moja ya ugumu wa kufatilia kesi ya mmasai ni kwamba majina yao wanayajua wao wenyewe kwa kuwa sisi tunawaita " Masai au Lafiki"

HATUJUI WALA HATUTAKI KUJUA MAJINA YAO.
Jambo jingine ni kwamba mmasai anaishi sehemu yoyote na mazingira ya aina yoyote.
Mvua,jua na uchafu kwake siyo tatizo.

Pia anao uwezo wa kusafiri kwa njia yoyote kwenda popote na kwa usafiri wa aina yoyote ikiwa pamoja na miguu yake mwenye na akafika popote hata kama ni mbali sana.

Muda huu ambao polisi wanadai kufanya uchunguzi wa kina wauaji wanaweza kuwa wanakaribia kufika Ngorongoro au mkoa mwingine wowote mbali na Dar Es Salaam.

Jambo jingine ni kwamba mmasai anapofanya kosa huwa wamasai wenzake wanataratibu zao za kimila za
kumkanya na ikiwa pamoja na kumtoza faini kwa taratibu zao za mila za kimasai.

Kwahiyo kwakuwa tunawaona wamasai mijini na hakuna anayejua wametokea mkoa wala wilaya gani kama ambavyo mijini hatuna utamaduni wa kufatiliana na kuulizana bila sababu, kwahiyo hata kama hapo Dar Es Salaam kuna wamasai wenzake wanaomjua haitakuwa rahisi kwa wamasai wenzake kutoa taarifa zinazoweza kusaidia kukamatwa kwake kwa vyombo vya dola, watazuga kama vile hakuna
Wakifolenishwa wakapigwa nua na kuroli kidogo na kichura kiasi wenyew kwa wenyewe watatajana
 
Mimi niulize hivi kwanini wamasai wanatembea na sime kwenye mikusanyiko ya watu wengi wala haionekani kama ni hatari

Lakini mtu mwingine asie mmsai akitembea na sime ile ile ya masai huonekana kama tishio la usalama
Kama sisi waislamu ni Sunna kutembea na silaha lakini kujaribu mara moja utaitwa gaidi,Al shabaab, alkaida na majina mengine lakini mmasai hakuna anayejali japo Kwa tukio hili huenda serikali ikaanza kiwafatilia japo ni ngumu.
Serikali ilishawafanya wamasai kama sehemu ya maliasili kwahiyo mashuka Yao pamoja na hayo marungu, sime na fimbo zao ni vivutio vya watalii!
 
Bro kwa ulivyowachambua mambo ni mawili. Uliishi umasaini au wewe n mmasai. Umewachambua vizuri sana
Hapana!
Japo kwa sasa naishi Moshi mjini siwezi sema kwamba hapa ni umasaini. Na pia mimi siyo mmasai.
Mimi ni mzinza toka Biharamulo mkoani Kagera ila nimeishi makao makuu ya mikoa mbalimbali kwa zaidi ya miaka 25.
NI swala la kufatilia tu jamii mbalimbali nazokutana nazo katika mizunguko yangu ya kila siku.
 
Unaambiwa Polisi hawafanyi kazi ikiwa hawakutafuti wewe.. fanya kosa wawe wanakutafuta wewe ndio utajua wanafanya kazi au hawafanyi.

Turudi kwenye mada:

Mmasai kumpata ni simpo sana ikiwa watatumia technolojia.. najua tu wameondoka na simu zao za vitochi na hivi hawawez kukaa siku nzima bila kupiga makelele kuongea na simu.. wanajua walipo ni swala la muda.

Kuna Mmasai alikimbia kufanyiw tohara huku Arusha, akaenda DSM.. alipatikana chap na wamasai wenzie huko huko DSM.

Means kuwapata kirahisi ni kuwatumia wao wenyewe otherwise awe ni mmasai wa mchongo.
 
Kama sisi waislamu ni Sunna kutembea na silaha lakini kujaribu mara moja utaitwa gaidi,Al shabaab, alkaida na majina mengine lakini mmasai hakuna anayejali japo Kwa tukio hili huenda serikali ikaanza kiwafatilia japo ni ngumu.
Serikali ilishawafanya wamasai kama sehemu ya maliasili kwahiyo mashuka Yao pamoja na hayo marungu, sime na fimbo zao ni vivutio vya watalii!
Wamasai maliasili ya taifa
Imebidi nicheke
 
Illiterate masai Huwa ni wagumu sana kuelewa...miaka ya nyuma nilipanda daladala hapa dar kipindii icho nauli ilikua imeongezeka shilingi mia..

Konda ALIPO mdai masai pesa masai haelewi anasema yeye Kila siku analipa 500 ugomvi ukawa mkubwa masai anada apewe chenchi kamili... Masai illiterate ni watu hatare sana hasa mkitofautiana maelezoo.
 
labda wangemuua samuya ndio wangepatikana nadhani hao ndio watumike kuua wauaji wooote wa oktoba
 
Back
Top Bottom