Hapa nina full stress

Hapa nina full stress

Yes huwa naona aibu kununua ndom mkuu
Acha upate ngoma na ufe tu.
Maana hamna namna, sasa utajinasua vipi hapo ndgu yangu?

Ndom unaogopa kununua, ukiumwa hosp unaogopa kwenda, kumbato unapenda.

Mbona madukani huwa kuna machalii tu ndo wanauza, unawaonea aibu Me wenzio, hamna asiejua kua kuna kuzagamua.

Ni sawa na uogope kwenda kukata gogo kisa kuna mtu atakuona ukiingia chooni, ilhali binadamu wote tunakata gogo.
 
kila muhudumu wa pale alikuwa akisoma kadi yangu anasikitika kuna mmama mmoja akaniambia kijana mbona unajidhalilisha hivi aisee niliona aibu mno.
Ni hospital gani hiyo isiyo na privacy na wagonjwa... Yani Hadi mtu Baki akuulize ...
Acha chai.

Na Wala cyo gono hyo. Hyo Ni UTI sugu.

Kula CIPRO
 
Sio uzoefu kivile, nimeyakanyaga mara 2.
MAra ya kwanza nilipoyavagaa, nilijigundua baada ya kukojoa naona kama nakojoa ukali wa pil pil au moto, sikuja hapa JF wala kupiga simu popote, ilikua ni saa 6 usiku, mzee nilisafiri kilometa 25 kwenda kufuata hospial ya viwango nijue nini shida, sikutaka kwenye dispensary wala duka la madawa. Saa 6 usiku nilikimbia hospital kutibiwa ndio dokta kunambia hili ni gono.

Nikiweka aibu kando maana kwenye afya huwa sitaki utani, nakuaga serious sana.

Mara ya pili ilikua niko Arusha, nilipita demu wa online toka exotic, kesho yake nika his tofauti (mwili wangu uko very reactive to invasions) so fastaaa asubuh nikaghairi rayiba zoote za siku hiyo nikawah Kaloleni pale hospital. Yule dokta akawa ananiletea ustaarabu wa ki dokta anasema ni maambjkiz kwenye njia ya mkojo, nikamwambia, dokta agha kuremba, hili ni gono nalijua vizur, wala usitake kunitia moyo, we nichane live tu. Akacheka sanaaaa.

Ila hii experience ya pili ikanisogeza hatua ya pili kuhusu huu ugonjwa, ile first time sikuvaa kondom. Bit this second time nikitukia condom, hapo ndio niakugundua mbali na kutumia kinga hili gonjwa linahitaji a very higj hygienic process ,pre and after sex , yale maji maji tu shida.

Nikaonaga hapa dawa pekee ni kuacha kabisa kula madem vimeo wachafu chafu wanauka K hawa hovyo kabisa.

Nikaamuaga kutulizana. Ni miaka mingi sana sasa sijuagi habar za kutomba nje niliqmua kutuliza kidudu tu for my own safety and my loved ones
Mkuu hapo dawa sio kutokuwa na madem wachafu ishu hapo ni kuowa tena huyo mke wako uwe unamuamini kweli kweli vinginevyo uwez toka salama
 
ukiona mwanamke anajihusisha nakanisani mala kw.aya mala kiongozi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu kimbiaaaaaaaaaaaa ni motoooooooo
wanatobwa vibaya mnooo kutobwa siombaya ila wao wanatobwa vibay.a mnoooooo

kapime ukimwi mkuu
😃😀😀😀😀😀😂😂😂😂 Eti wanatobwa
 
Na huo ndio ukweli....aachane na watoto wadogo 😅

Acha upate ngoma na ufe tu.
Maana hamna namna, sasa utajinasua vipi hapo ndgu yangu?

Ndom unaogopa kununua, ukiumwa hosp unaogopa kwenda, kumbato unapenda.

Mbona madukani huwa kuna machalii tu ndo wanauza, unawaonea aibu Me wenzio, hamna asiejua kua kuna kuzagamua.

Ni sawa na uogope kwenda kukata gogo kisa kuna mtu atakuona ukiingia chooni, ilhali binadamu wote tunakata gogo.
Ni kweli mkuu baada ya hili tukio aisee sifanyi kosa tena takuwa makini mno
 
Isha nikuta iyo nili shtuka tu naona boxer ina vitu sivielewi na niki minya 🍆 kuna maelekezo yana shuka afu siyaelewi ..nika mcheki bro ni doctor tuka maliza issue within 1 week .ngoma nika pima baada ya 5 month maana nilkua sina amani ya moyo .yule dem ali niambie apendi ndom na nyege zangu siku tumia akili kabsa kusoma red frag .


Wengi upata haya magonjwa kwa kutumia kichwa cha chini kufikiri kama mimi ..
 
Ni hospital gani hiyo isiyo na privacy na wagonjwa... Yani Hadi mtu Baki akuulize ...
Acha chai.

Na Wala cyo gono hyo. Hyo Ni UTI sugu.

Kula CIPRO
Sio chai mkuu pale kuna wahudumu wakike kibao halafu wanaishi kifamilia sana yani unaweza kuta chumba cha daktari manesi wamejaa et wanapiga story na shosti yao au kwa mtoa dawa kifupi pale kila mtu anaingia kwenye sekta ya mwenzake bila uog wowote nilichukia sana hii kitu
 
Naona hizo dawa alizokuwa anameza kama vile ni panadol na metronidazole
Ni hospital gani hiyo isiyo na privacy na wagonjwa... Yani Hadi mtu Baki akuulize ...
Acha chai.

Na Wala cyo gono hyo. Hyo Ni UTI sugu.

Kula CIPRO
 
Ipo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana.

Basi tukaanza mahusiano nakumbuka alinifoce sana kuja home nikakataa coz sikuwa na kinga kwa gheto sababu mimi sio mtu wa mambo hayo kivile na hapo nilikuwa kama nina miezi 6 nipo single.

Basi next time akanichek tena akaniforce sana hatimae nikamla sababu alikuwa mtu wa dini sana tena kiongozi wa kwaya kanisani basi nikamuamini na nilimpiga show ya maana sikuvaa kinga kosa lingine hilo aisee ninajuta sana.

Sasa baada ya kumla imepita kama siku mbili yule dem akataka tena nikamgonge maana alielewa show yangu sasa jioni yake nikahisi kama mtekenyo fulani nikatoa mashine kuchek nikaona kama usaha like shahawa vile nikajua hapa tayari nishayatimba nikamtafuta yule dem nikamueleza yeye pia akashangaa maana akujua bac nilimind kinoma maana huwa nipo makini sana na afya halafu nimekuja kuipata kizembe hivi.

Basi nikamchek mwanangu mmoja akaniambia yupo daktari mmoja mstaafu huwa anazitibu sana hizo mambo maana kwenda hospitali niliona jau basi tukaenda na mshkaji akinipa pakt ya dawa kama vidonge kumi hivi vya pink unameza kimoja asubuhi na jioni nikapiga hivyo vidonge vikakata ishu ni kwamba maumivu siskii shida mzigo muda wote unatema vitu kama mkojo na sometime vitu kama maziwa ila maumivu hakuna.

Nikamchek mwanangu nikamueleza akaniambia turudi tena kwa dokta akanipa tena dozi ya pili nimemaliza still mzigo bado basi jana nikaona sio kesi basi nikaenda hospitali mbaya zaidi nilikutana na wahudumu wa kike kuanzia dokta mpaka nesi aisee baada ya kupata vipimo dokta kaniambia pole umekutwa na gono pia akaniambia hii sio ishara nzr but its ok.

Tumia dozi ya sindano kwa siku tano na dawa utakuwa sawa. Imeniuma sana coz kila muhudumu wa pale alikuwa akisoma kadi yangu anasikitika kuna mmama mmoja akaniambia kijana mbona unajidhalilisha hivi aisee niliona aibu mno.

Yaani hapa nina hofu kweli natamani sana kwenda kuchek HIV ila ujasiri huo sina nimejitunza kwa miaka mingi sometime nakaa muda mrefu niko single halafu nimekuja kupata ugonjwa kijinga sana na kwanza ndio mimepata ajira eeeh Mungu nisaidie nisiwe nimepewa gono+HIV sina amani, nina mashaka muda wote.

Halafu nasikia huyu dem alikuwa dodoma.

Kingine wakuu kuna uhusiano gani kati ya ngoma na gono maana kuna mtu aliniambia hizi mambo zinaendana na hapo ndio nikachanganyikiwa zaidi.

Najiskia vibaya sana jana imenitoka 40k kwa ujinga wangu mwenyewe yaani mtu kaniachia maradhi na bado pesa nilikuwa nampa aisee.

Hakika zinaa ni mbaya Mungu aninusuru na pia natamani kupima HIV ila hofu inanifanya nishindwe kutimiza hilo lengo.

Naishi kwa mashaka sina amani kabisa ndugu zangu
Mambo kama haya yakitpkea ni muhimu kwenda hospitali moja kwa moja.

Hao wastaafu wa vichochoroni hawawezi kukufanyia vipimo kama "Culture and Sensitivity" ambavyo vinaweza kuhitajika kukupima vizuri kujua upewe dozi gani.

Siku hizi hayo magonjwa hayasikii dawa, na ukipewa dawa ovyo unaweza kuongeza resistance ya vidudu.

Zaidi, wafanyakazi wa hospitali wanatakiwa kuwa wamefundishwa kuhudumia wagonjwa bila judgement. Kwa hiyo usione aibu kwenda, wale ndiyo kazi yao kukuhudumia. Wanahudumia kila mtu, mpaka majambazi wanaoua watu wanatakiwa kuhudumiwa bila judgement.
 
Sio chai mkuu pale kuna wahudumu wakike kibao halafu wanaishi kifamilia sana yani unaweza kuta chumba cha daktari manesi wamejaa et wanapiga story na shosti yao au kwa mtoa dawa kifupi pale kila mtu anaingia kwenye sekta ya mwenzake bila uog wowote nilichukia sana hii kitu
Unaendaje hospital za kiboya namna hyo!?
 
Isha nikuta iyo nili shtuka tu naona boxer ina vitu sivielewi na niki minya kuna maelekezo yana shuka afu siyaelewi ..nika mcheki bro ni doctor tuka maliza issue within 1 week .ngoma nika pima baada ya 5 month maana nilkua sina amani ya moyo .yule dem ali niambie apendi ndom na nyege zangu siku tumia akili kabsa kusoma red frag .


Wengi upata haya magonjwa kwa kutumia kichwa cha chini kufikiri kama mimi ..
hatareee tupuuu.
 
Sio chai mkuu pale kuna wahudumu wakike kibao halafu wanaishi kifamilia sana yani unaweza kuta chumba cha daktari manesi wamejaa et wanapiga story na shosti yao au kwa mtoa dawa kifupi pale kila mtu anaingia kwenye sekta ya mwenzake bila uog wowote nilichukia sana hii kitu
Mbona hii iko sana hasa zahanati, vituo vya afya na hospital za vijijini, wala hawana habari ya privacy kabisaa. Lol
 
Back
Top Bottom