Hapa nina full stress

Hapa nina full stress

Pole Sana tumia dozi kwa usahihi utakuwa poa ,Ila ikitokea ukagonga Tena mwenye gono baada ya kupona kuugua nikugusa tu.... ukimtongoza Dem au ukimuomba namba demu akakunyima mshukuru Sana maana anakuepushia na mengi
 
Nunua boksi la ndomu piga mzigo wadada kama watano tofauti wapange wengi wengi gombanisha fumaniwa filisika rudi kwenye form yako😁baada ya hapo Kuna kahofu flan katakua kamekutoka
Daah mkuu ishu ipo kwenye kupima aisee hapa nimeenda kuchoma sindano nesi akaniambia kama unawasi wasi tukupime ba ngoma kabisa uwe huru aisee nimetoka nduki
 
Pole Sana tumia dozi kwa usahihi utakuwa poa ,Ila ikitokea ukagonga Tena mwenye gono baada ya kupona kuugua nikugusa tu.... ukimtongoza Dem au ukimuomba namba demu akakunyima mshukuru Sana maana anakuepushia na mengi
Ni kwanini inakuwa kuugua ni kugusa kuna mabadiliko gani yanakuwa yametokea ndani ya mwili
 
Magonjwa mengine yanasababishwa na hali ya usafi baina yenu ...Huo ugonjwa inawezekana mmepata wote kwa wakati mmoja .
 
Magonjwa mengine yanasababishwa na hali ya usafi baina yenu ...Huo ugonjwa inawezekana mmepata wote kwa wakati mmoja .
Hapana kwenye usafi mimi nipo vzr ila huyu dem alikuwa na kishombo flani sema nilipuuza coz sikuwa mzoefu wa hizo mambo ila baada ya kupitia nyuzi za humu nimegundua kumbe hicho kiarufu kina maana yake
 
Back
Top Bottom