Pole mkuu mapito ya duniani, dah! Nakumbuka 2017 nilipata kimanzi Fulani hivi kina grocery.
Nikatafuta siku kakajaa kwenye mfumo. Kwenda lodge hakukuwa na "Kinga" ikabidi niende hospitali kuchukua Salama kumbuka hapo ni usiku yapata saa 6 hivi.
Duhh! Hizo Salama ni takataka yaani, katikati ya gemu nikashangaa ladha imekolea kucheki ndom Iko juu ishapasuka Dahh!!
Nikamalizia gemu kibishi.
After 12 hours mrija wa mkojo ukaanza kuwasha, nikahisi UTI, nilitumia AZUMA vidonge vi3 ikakata kabisa. Sikutaka Tena mazoea na hako kamanzi.
Ujinga wetu wanaume, hamu zikipanda Huwa tunarahisisha sana maamuzi.
Mi nadhani ni muda wa kutundika daruga la uzinzi. Maana asilimia kubwa ya mademu UTI tupu na gono nje nje!