heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Ngoma na gono ni kama mtu na mdogo wake ndugu wa damu ila baba tofauti
Nimesoma na kusikitika sana. Vijana mtaisha.Kingine wakuu kuna uhusiano gani kati ya ngoma na gono maana kuna mtu aliniambia hizi mambo zinaendana na hapo ndio nikachanganyikiwa zaidi.
Hahaha......daah we jamaaSo mkuu saivi ukiwa unakojoa unaufata mkojo huku umesimamia vidole? Ni huzuni
Hii ndio adhabu ya usaliti.....Karma.Ahsante mkuu nilikuwa chamani sema niliwasiliti kwa muda baada ya kupata kazi aisee kumbe huku nje ni pamoto hv
Nyeto ni dhambi.Kaka wacha tu nyeto ina faida mara 100000000 kuliko Qyma hizi k zote nichafu tu
Mwenyewe anadai alikuwa mzuri, shape, mcha Mungu😅😅😅😅Katika pitapita zangu nashukuru hizo makitu sijawahi nyaka asee, hii mavitu ya kuokotaokota barabarani ovyo sio poa hasa Hawa madada wa makanisani.
Makanisa na misikiti yamehifadhi Waharifu.ukiona mwanamke anajihusisha nakanisani mala kwaya mala kiongozi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu kimbiaaaaaaaaaaaa ni motoooooooo
wanatobwa vibaya mnooo kutobwa siombaya ila wao wanatobwa vibaya mnoooooo
kapime ukimwi mkuu
Hapa ndipo alikuwa anakuchora na kukuweka kwenye mtego ukajaa.Ipo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana.
Mkuu Zinaa ni mbaya mno imekula uchumi wa watu wengi achilia mbali afya zao.Tutubu jamani zinaa ni mbaya ni hasara tupu kuliko faida
Hali ya maisha ni ngumu na Mademu wanahitaji vitu vizuri kila wakati...Mbunye imekuwa chanzo cha Mapato.Kwa kweli wacha niendelee na nyeto ya mlenda vuguvugu. Naona mbususu nyingi sio salama kwa matumizi
Utanyooka tuIpo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana.
Basi tukaanza mahusiano nakumbuka alinifoce sana kuja home nikakataa coz sikuwa na kinga kwa gheto sababu mimi sio mtu wa mambo hayo kivile na hapo nilikuwa kama nina miezi 6 nipo single.
Basi next time akanichek tena akaniforce sana hatimae nikamla sababu alikuwa mtu wa dini sana tena kiongozi wa kwaya kanisani basi nikamuamini na nilimpiga show ya maana sikuvaa kinga kosa lingine hilo aisee ninajuta sana.
Sasa baada ya kumla imepita kama siku mbili yule dem akataka tena nikamgonge maana alielewa show yangu sasa jioni yake nikahisi kama mtekenyo fulani nikatoa mashine kuchek nikaona kama usaha like shahawa vile nikajua hapa tayari nishayatimba nikamtafuta yule dem nikamueleza yeye pia akashangaa maana akujua bac nilimind kinoma maana huwa nipo makini sana na afya halafu nimekuja kuipata kizembe hivi.
Basi nikamchek mwanangu mmoja akaniambia yupo daktari mmoja mstaafu huwa anazitibu sana hizo mambo maana kwenda hospitali niliona jau basi tukaenda na mshkaji akinipa pakt ya dawa kama vidonge kumi hivi vya pink unameza kimoja asubuhi na jioni nikapiga hivyo vidonge vikakata ishu ni kwamba maumivu siskii shida mzigo muda wote unatema vitu kama mkojo na sometime vitu kama maziwa ila maumivu hakuna.
Nikamchek mwanangu nikamueleza akaniambia turudi tena kwa dokta akanipa tena dozi ya pili nimemaliza still mzigo bado basi jana nikaona sio kesi basi nikaenda hospitali mbaya zaidi nilikutana na wahudumu wa kike kuanzia dokta mpaka nesi aisee baada ya kupata vipimo dokta kaniambia pole umekutwa na gono pia akaniambia hii sio ishara nzr but its ok.
Tumia dozi ya sindano kwa siku tano na dawa utakuwa sawa. Imeniuma sana coz kila muhudumu wa pale alikuwa akisoma kadi yangu anasikitika kuna mmama mmoja akaniambia kijana mbona unajidhalilisha hivi aisee niliona aibu mno.
Yaani hapa nina hofu kweli natamani sana kwenda kuchek HIV ila ujasiri huo sina nimejitunza kwa miaka mingi sometime nakaa muda mrefu niko single halafu nimekuja kupata ugonjwa kijinga sana na kwanza ndio mimepata ajira eeeh Mungu nisaidie nisiwe nimepewa gono+HIV sina amani, nina mashaka muda wote.
Halafu nasikia huyu dem alikuwa dodoma.
Kingine wakuu kuna uhusiano gani kati ya ngoma na gono maana kuna mtu aliniambia hizi mambo zinaendana na hapo ndio nikachanganyikiwa zaidi.
Najiskia vibaya sana jana imenitoka 40k kwa ujinga wangu mwenyewe yaani mtu kaniachia maradhi na bado pesa nilikuwa nampa aisee.
Hakika zinaa ni mbaya Mungu aninusuru na pia natamani kupima HIV ila hofu inanifanya nishindwe kutimiza hilo lengo.
Naishi kwa mashaka sina amani kabisa ndugu zangu
kweli mkuuMakanisa na misikiti yamehifadhi Waharifu.
Ogopa sana mtu anayependa kusali sali .....kuna kitu anakificha na anakiogopa
Cwez kufanya hicho kitu aisee nilivyo muoga aisee nitakufa mapemaShikilia huo msimamo, usije ukajaribu kupima!
Aisee ni hatari mno kaka kama kuna mtoto mmoja anatako saiz ashaanza kunimendea namkwepa hatari yani nimekuwa muoga kuliko kawaidaHali ya maisha ni ngumu na Mademu wanahitaji vitu vizuri kila wakati...Mbunye imekuwa chanzo cha Mapato.
Wanagawa kwa mtu yeyote as long as anauwezo wa ku sponsor chochote
Mademu wamekuwa ni wanyama hatari sana kwa maisha ya Mwanaume
Mkuu nachoma na sindano pia halafu hizo nyingine sio panadolUnacheza sana na maisha, kwanza it seems una ujinga wa kijijini, yaani uache kondomu alafu uje utuombe maoni huku? Alafu hizo metronidazole and panadol hazikusaidii, nenda tena hospital haraka. Metronidazole huzuia bacteria na vimelea kukua pamoja na kutibu magonjwa fulani ya zinaa, yes, but kwa kesi yako hiyo dawa ni dose ndogo sana. Kama huamini, tumia hiyo dawa utarudi tena hosp.
![]()
Gonorrhea Treatments
Gonorrhea is a sexually transmitted infection (STI) that may be detected on regular visits at the local sexual health or genitourinary medicine (GUM) clinic for a sexual health test. It is a treatable infection.www.news-medical.net
Azuma 5000 tuIpo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana.