Mkuu wewe unauzoefu sana na hili gonjwa ebu toa neno la kunitia moyo
Sio uzoefu kivile, nimeyakanyaga mara 2.
MAra ya kwanza nilipoyavagaa, nilijigundua baada ya kukojoa naona kama nakojoa ukali wa pil pil au moto, sikuja hapa JF wala kupiga simu popote, ilikua ni saa 6 usiku, mzee nilisafiri kilometa 25 kwenda kufuata hospial ya viwango nijue nini shida, sikutaka kwenye dispensary wala duka la madawa. Saa 6 usiku nilikimbia hospital kutibiwa ndio dokta kunambia hili ni gono.
Nikiweka aibu kando maana kwenye afya huwa sitaki utani, nakuaga serious sana.
Mara ya pili ilikua niko Arusha, nilipita demu wa online toka exotic, kesho yake nika his tofauti (mwili wangu uko very reactive to invasions) so fastaaa asubuh nikaghairi rayiba zoote za siku hiyo nikawah Kaloleni pale hospital. Yule dokta akawa ananiletea ustaarabu wa ki dokta anasema ni maambjkiz kwenye njia ya mkojo, nikamwambia, dokta agha kuremba, hili ni gono nalijua vizur, wala usitake kunitia moyo, we nichane live tu. Akacheka sanaaaa.
Ila hii experience ya pili ikanisogeza hatua ya pili kuhusu huu ugonjwa, ile first time sikuvaa kondom. Bit this second time nikitukia condom, hapo ndio niakugundua mbali na kutumia kinga hili gonjwa linahitaji a very higj hygienic process ,pre and after sex , yale maji maji tu shida.
Nikaonaga hapa dawa pekee ni kuacha kabisa kula madem vimeo wachafu chafu wanauka K hawa hovyo kabisa.
Nikaamuaga kutulizana. Ni miaka mingi sana sasa sijuagi habar za kutomba nje niliqmua kutuliza kidudu tu for my own safety and my loved ones