Hapa nina full stress

Hapa nina full stress

Kaka wacha tu nyeto ina faida mara 100000000 kuliko Qyma hizi k zote nichafu tu
Ukimwi na gono havina uhusiano... miaka yetu tukiwa vijana na hakukuwa na ukimwi ilikuwa kupata gono ni kama malaria tuu na dawa zetu zilikuwa tetracycline (tukiita rangi mbili). Ili uwe huru psychologically kapime ngoma dogo... Ila nimefurahi kwa jinsi ulivyo serious na afya yako, asikudanganye mtu mtaji pekee utakaokufanya utimize malengo yako ni afya isiyo na mgogoro...pesa hata ukifilisika unaweza kuitafuta, lakini siyo maradhi, hasa haya maradhi makubwa.
 
Ukimwi sipimi hata kwa bunduki wacha nitaona matokeo yake huko mbele
Usipo pima utakuwa unaishi kwa hofu siku zote.
Siku ukiugua homa kidogo tuu, utahisi ngoma ndio imeamka.
Lakini pia itapelekea ujirisk zaidi.
Ukipata demu mpya utaogopa kwenda kupima nae.
Matokeo yake UKianzisha nae mahusiano kuna uwezekano mkubwa wa kutotomia kinga siku moja.

Ila ukienda kupima.
Kama huna utaishi kwa amani,
Na hata ukipata demu mpya, utakuwa huna tatizo kwenda kupima nae.
 
ukiona mwanamke anajihusisha nakanisani mara kwaya mara kiongozi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu kimbiaaaaaaaaaaaa ni motoooooooo
wanatombwa vibaya mnooo kutombwa sio mbaya ila wao wanatombwa vibaya mnoooooo

kapime ukimwi mkuu
😳😳😳😳😳
 
ni PM kwa msaada zaidi....

Lakini kuna vitu vingi nimegundua hujui, pole sana na toa wasi wasi......huyo mwanamke naye ni kama wewe tu hamjui vingi.
 
Back
Top Bottom