mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,082
- 4,235
Wanaojitunza wanakuwa na nyege mpapato kama wanaumwa vile....Nyie "mnaojitunza" sana ndo mara nyingi lazma gono liwapige kelebu.
Sisi wengine mwendo mchibuyu hata wadudu wakiona wanaendelea na safari zao bila kutubugudhi
On a serious note sasa, dont b daft, kama umepata gono meza dawa life lisonge. Wacha kulaumulaumu kifala coz kama kweli unajitunza ungevaa ndom tu, huyo mlokole hajakubaka, uliendekeza manyege.
Subr miez 3, kqpime na umeme, kama na huo umeukwaA sijui tutakusaidiaje.
Inakuwa rahisi sana kuuza mechi, kwanza wana vituko wakiona kitu kidogo tu kama picha ya mdada nusu uchi wanachanganyikiwa
