Hapa nihesabu niko nje tu

Hapa nihesabu niko nje tu

hata mm nipo hivo usipouliza jambo au kufatilia ndo imetokaga yani kimya kimya
Kama sina ishu ya maana sikupigii simu. Kama hauna ishu ya maana usinipigie simu labda text nitajibu. [emoji41][emoji41]
 
Huenda akawa mama nwingine ambaye hutakiwi kumfahamu akija yule biological mama atakualika tu Huyu aliyekuja Leo ni psychological Mumy.
 
Kama sina ishu ya maana sikupigii simu. Kama hauna ishu ya maana usinipigie simu labda text nitajibu. [emoji41][emoji41]
Hahahaaa Kaka wewe kama mimi, huwa siwezi kupiga simu eti ili kukusalimia tu, siwezi labda unitext ila ukipiga napokea Tunaongea frsh
 
Loh nimerudia mara mbili nimetoka bila bila lugha maarufu nimetoka kapa hata sijaelewa ngoja waje wengine labda wataelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Post za huyu dada, ni kazi kuzielewa mkuu..
Mm nazisomaga taratibu kwanza kama mara tatu hivi ndio namuelewa, I gues walimu wake wa msingi walipata sana shida naye...
 
Habari za weekend wapendwa,

Huyu ni rafiki yangu rafiki rafiki, lakini yeye ni wa jinsia ya pili. Tunafanya vitu vingi pamoja, mwezi wa kumi na mbili aliniambia mama yake anakuja, kwakua sasa hivi hatukai mji mmoja, tulikubaliana mama akifika nitakwenda kumuona na kumsalimia. Mwezi ule mama alipata matatizo hivyo alishindwa kusafiri, rafiki yangu alishachukua likizo mwezi Januari akae na mama yake, kwakweli nilimhurumia, January ile alishinda nyumbani mwenyewe, ilibidi atafute vishughuli vidogo vidogo ili muda uende.

Hatuna mazoea ya kuongea kila siku, ni mpaka kuwe na jambo la kuongelea, nilikuwa na issue ya kuongea nae, ninapiga ananiambia aah nitakupigia baadae nipo kwa daktari nimemleta mama. Jamani kumbe mama amefika, ehh tangia mwezi wa pili. Mmhh niliona kabisa hili ni lisilokuhusu.

Alinipigia simu baadae tuliongea vizuri issue iniliyotaka kuongea, lakini sikuulizia tena mustakabali wa mama, wala siwezi kusema ninakuja kumuona. Hii ni dalili kabisha huko upande wa pili wa tunnel hakuna mwanga.
Hahaaa umri huo bdo unaongopewa hujui
 
Kwakweli ni rafiki yangu na nilitegema anitambulishe kama rafiki, kama unataka kufahamu Zaidi sijavunja nae amri ya sita.
Sasa mkuu kama urafiki wenu ni wa kawaida tu hauhusishi mambo ya mapenzi kutambulishwa kwa mama si lazima, yaani kwa mf mm nina rafiki wa ke kwani mama akija kunitembelea lazima nimualike kuja kumtambulisha?. May be kama mchumba
 
Tena urafiki wa kawaida ndiyo muhimu kutambulishana kwa wazazi kwani mnakuwa kama ndugu. Nimemfahamu huyu rafiki yangu mwaka 2013. Tulikutana kwenye party ambayo nilikwenda na shost. Mume wa shost na huyu rafiki yangu walikuwa class mates miaka hiyo 19 kweusi. Nilikwenda kwa gari ya shost, lakini baada ya sherehe niligundua mimi na huyu kaka ni majirani hivyo tulichukua taksi moja kurudi nyumbani. Alihakikisha nimeingia ndani na tuliagana na alichukua namba yangu ya simu. Kesho yake alipiga asubuhi kunicheck kama nimeamka salama.

Baada ya hapo tulianza maongezi na niligundua kuwa huyu kaka ana hofu ya Mungu kubwa sana, hii ni sababu moja iliyofanya hatujawahi kuvunja amri ya sita. Tulizoeana sana, J'mosi tulifanya jogging pamoja na J2 mara nyingi tulienda kanisani pamoja ma mara nyingi tunakula restaurant tukitoka kanisani, hata kama hajasali pamoja, tuliweka utaratibu wa kutopika J2 na tunakula restaurant. Ninadhani unaelewa ukaribu uliopo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Post za huyu dada, ni kazi kuzielewa mkuu..
Mm nazisomaga taratibu kwanza kama mara tatu hivi ndio namuelewa, I gues walimu wake wa msingi walipata sana shida naye...
Loh ni kweli mkuu mimi nilianza kuisoma jana kabla ya kulala sikuelewa chochote nimekuja kuelewa leo.
 
Tena urafiki wa kawaida ndiyo muhimu kutambulishana kwa wazazi kwani mnakuwa kama ndugu. Nimemfahamu huyu rafiki yangu mwaka 2013. Tulikutana kwenye party ambayo nilikwenda na shost. Mume wa shost na huyu rafiki yangu walikuwa class mates miaka hiyo 19 kweusi. Nilikwenda kwa gari ya shost, lakini baada ya sherehe niligundua mimi na huyu kaka ni majirani hivyo tulichukua taksi moja kurudi nyumbani. Alihakikisha nimeingia ndani na tuliagana na alichukua namba yangu ya simu. Kesho yake alipiga asubuhi kunicheck kama nimeamka salama.

Baada ya hapo tulianza maongezi na niligundua kuwa huyu kaka ana hofu ya Mungu kubwa sana, hii ni sababu moja iliyofanya hatujawahi kuvunja amri ya sita. Tulizoeana sana, J'mosi tulifanya jogging pamoja na J2 mara nyingi tulienda kanisani pamoja ma mara nyingi tunakula restarant tukitoka kanisani, hata kama hajasali pamoja, tuliweka utaratibu wa kutopika J2 na tunakula restaurant. Ninadhani unaelewa ukaribu uliopo.
Mkuu nimekusoma ila nauliza tena mlishaahidiana kuwa wachumba ama mtaoana? Au ilikuwa urafiki wa karibu wa tu kama ulivyouelezea?
 
Mkuu hatujafika huko lakini hizi ndiyo indicators kuonyesha direction haielekei huko.
 
Mkuu nimekuelewa ukiwa na ukaribu wa hivo na KE kwa ME lazima uhisi ana feelings na ww but kama mwenzio labda tayar alikuwa ana mtu mwingine?, ulishawahi kumuuliza kama ama someone?
 
Hajawahi kusema ndio anasema hakuna mtu.
 
Habari za weekend wapendwa,

Huyu ni rafiki yangu rafiki rafiki, lakini yeye ni wa jinsia ya pili. Tunafanya vitu vingi pamoja, mwezi wa kumi na mbili aliniambia mama yake anakuja, kwakua sasa hivi hatukai mji mmoja, tulikubaliana mama akifika nitakwenda kumuona na kumsalimia. Mwezi ule mama alipata matatizo hivyo alishindwa kusafiri, rafiki yangu alishachukua likizo mwezi Januari akae na mama yake, kwakweli nilimhurumia, January ile alishinda nyumbani mwenyewe, ilibidi atafute vishughuli vidogo vidogo ili muda uende.

Hatuna mazoea ya kuongea kila siku, ni mpaka kuwe na jambo la kuongelea, nilikuwa na issue ya kuongea nae, ninapiga ananiambia aah nitakupigia baadae nipo kwa daktari nimemleta mama. Jamani kumbe mama amefika, ehh tangia mwezi wa pili. Mmhh niliona kabisa hili ni lisilokuhusu.

Alinipigia simu baadae tuliongea vizuri issue iniliyotaka kuongea, lakini sikuulizia tena mustakabali wa mama, wala siwezi kusema ninakuja kumuona. Hii ni dalili kabisha huko upande wa pili wa tunnel hakuna mwanga.
Mama yako huna mpk umtolee udenda mama wa mtu..! Kujipendekeza huko.[emoji85] [emoji85]

Kuna tego hapo jamaa akae makini maana mnavyojua kusaka ndoa mzipate sasa mama wa watu siyo mzaa chema tena..[emoji2] [emoji2]
 
Hajawahi kusema ndio anasema hakuna mtu.
Unajua sister cc ME sometimes unajikuta una ukaribu sana na KE ambao hadi unajiuliza ulianza vp unakosa jibu na hata kama huna malengo nae kwa jinsi unavyomuheshimu na kumjali unaona mkisex then umuache inakuwa noma sana na hasa ukiwa na hofu ya mungu, pia hata kama KE hajakwambia anakupenda unajua tu kutokana na matendo sasa kama ulikuwa tayar una mtu mwingine may be hayupo around inakuwa ngumu kumwambia KE.
 
Kuna wadau wengi watatoa comments za kukudissapoint bila kujua situation uliyo nayo, mwanzon na mm nilivyosoma sikukuelewa vzr
 
Kwakweli ni rafiki yangu na nilitegema anitambulishe kama rafiki, kama unataka kufahamu Zaidi sijavunja nae amri ya sita.
Unajua wapo kina mama huwa hawaamini kama kijana wa kiume aweza kuwa na rafiki wa kike,,,,,,,,, by ze wei hata mimi sipendi mama anione na msichana,,, aibu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Mama yako huna mpk umtolee udenda mama wa mtu..! Kujipendekeza huko.[emoji85] [emoji85]

Kuna tego hapo jamaa akae makini maana mnavyojua kusaka ndoa mzipate sasa mama wa watu siyo mzaa chema tena..[emoji2] [emoji2]
Mbona hivyo!!
 
Back
Top Bottom