khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,147
- 1,079
Sometimes utulivu huhitajika wakat unaandika uzi. ..
No mkuu siwezi, alitakiwa anifahamishe mama ameshafika, ni jambo ambalo ninalifahamu. Kidogo binadamu inabidi ujipe ka-pride flani.Kazana ujue sababu, mwambie unaenda kumtembelea na kumsalimu mama yae. Ila alipokuwa likizo kwanini hukumkaribisha kwako au?
Jionee mwisho wake kama unampenda jua pa kumvuta.
No mkuu siwezi, alitakiwa anifahamishe mama ameshafika, ni jambo ambalo ninalifahamu. Kidogo binadamu inabidi ujipe ka-pride flani.
Asante mkuu nitaangalia hali ya upepo kwanza.Ka pride kwake itakusaidiaje wewe au kukufurahishaje na huu umekuja kuyaandika? Yaani unamfikiria na hauna furaha na maamuzi yake, nafikiri unajua inamaana fulani haswaaa kutoka kwako.
Ila uamuzi ni wako uonavyo.
Mpe nafasi, atakapoona ni right tyme atakualika ukamsalimie. ..Hapana mkuu kwa jinsi ninavyomfahamu mama yeke amefika angenitumia hata ujumbe wa whatsupp. Leo ananiambia amempeleka mama madukani, nimesikiliza tu lakini hakuna mwaliko.
Du wewe ni mwalimu, asante sana, na mimi nimeliona hilo.Aisee mapenzi haya nimegundua huyo kaka unampenda na atakutesa sana.
Unajua nn?? Huyo kaka anakuona kama rafiki wa kawaida sana ila ana mtu anaempenda kuliko wewe. Shoga piga kimya usijipendekeze kwenda unaweza kukutana na mwenzio.
Mwanaume akikupenda kukutambulisha lazima atake mama yake akujue.
hizi mada nyingne ni upuuz mtupu so asipokutambulisha kwa maza ake ww unapungikiwa na nn akat umeshasema hamna mawasiliano mazur??Habari za weekend wapendwa,
Huyu ni rafiki yangu rafiki rafiki, lakini yeye ni wa jinsia ya pili. Tunafanya vitu vingi pamoja, mwezi wa kumi na mbili aliniambia mama yake anakuja, kwakua sasa hivi hatukai mji mmoja, tulikubaliana mama akifika nitakwenda kumuona na kumsalimia. Mwezi ule mama alipata matatizo hivyo alishindwa kusafiri, rafiki yangu alishachukua likizo mwezi Januari akae na mama yake, kwakweli nilimhurumia, January ile alishinda nyumbani mwenyewe, ilibidi atafute vishughuli vidogo vidogo ili muda uende.
Hatuna mazoea ya kuongea kila siku, ni mpaka kuwe na jambo la kuongelea, nilikuwa na issue ya kuongea nae, ninapiga ananiambia aah nitakupigia baadae nipo kwa daktari nimemleta mama. Jamani kumbe mama amefika, ehh tangia mwezi wa pili. Mmhh niliona kabisa hili ni lisilokuhusu.
Alinipigia simu baadae tuliongea vizuri issue iniliyotaka kuongea, lakini sikuulizia tena mustakabali wa mama, wala siwezi kusema ninakuja kumuona. Hii ni dalili kabisha huko upande wa pili wa tunnel hakuna mwanga.
wacha kabisa ukimpenda mtu hapa nipo najishangaa mda huu bado niko macho siwezi kulala kabla hajanambia kashatoka kazini alivyokuwa mbali sasa hata saa saba lazima nisubiri anambie kafika home dahDu wewe ni mwalimu, asante sana, na mimi nimeliona hilo.
Mpe mda....Mama akishaanza kutakata[emoji6] [emoji6] [emoji6] atakukaribisha. ...si ndio kwanza wameenda madukani....No mkuu siwezi, alitakiwa anifahamishe mama ameshafika, ni jambo ambalo ninalifahamu. Kidogo binadamu inabidi ujipe ka-pride flani.
Mimi kuna rafiki yangu kila wiki lazima tuongee kuna siku kanitumia picha ya biharusi, nikamuuliza huyu ndio nani? Hakunijibu ila alinitumia picha ya pili akiwa yeye bwana harusi nilimpa hongera tu, lakini naongea nae kama kawaida ila na mimi yangu sisemi mpaka nikishayafanya ndio humuhadisia. Pia kuna rafiki yangu mmoja huyu yeye nimemkatia sababu ya kusitoongea nae ana maneno ya kinafiki kila siku, anapenda kuhadisia mambo ya watu lakini yake hayasemi nilimkanya sana awache tabia ya kuongea mambo ya watu lakini hataki kubadilika, ndio nikaona wakati wa mimi kubadilika kumkatia line.Habari za weekend wapendwa,
Huyu ni rafiki yangu rafiki rafiki, lakini yeye ni wa jinsia ya pili. Tunafanya vitu vingi pamoja, mwezi wa kumi na mbili aliniambia mama yake anakuja, kwakua sasa hivi hatukai mji mmoja, tulikubaliana mama akifika nitakwenda kumuona na kumsalimia. Mwezi ule mama alipata matatizo hivyo alishindwa kusafiri, rafiki yangu alishachukua likizo mwezi Januari akae na mama yake, kwakweli nilimhurumia, January ile alishinda nyumbani mwenyewe, ilibidi atafute vishughuli vidogo vidogo ili muda uende.
Hatuna mazoea ya kuongea kila siku, ni mpaka kuwe na jambo la kuongelea, nilikuwa na issue ya kuongea nae, ninapiga ananiambia aah nitakupigia baadae nipo kwa daktari nimemleta mama. Jamani kumbe mama amefika, ehh tangia mwezi wa pili. Mmhh niliona kabisa hili ni lisilokuhusu.
Alinipigia simu baadae tuliongea vizuri issue iniliyotaka kuongea, lakini sikuulizia tena mustakabali wa mama, wala siwezi kusema ninakuja kumuona. Hii ni dalili kabisha huko upande wa pili wa tunnel hakuna mwanga.
Wadada bana sasa hivi unamuona Mama wa mwenzio wa mana ukishaingia ndani tu, huyo Mama anakuwa hafai, sijui mkoje, eleweni nyie ndio Mama wakwe wa badae, what's goes around comes around, kueni wangwana muache unafikiHabari za weekend wapendwa,
Huyu ni rafiki yangu rafiki rafiki, lakini yeye ni wa jinsia ya pili. Tunafanya vitu vingi pamoja, mwezi wa kumi na mbili aliniambia mama yake anakuja, kwakua sasa hivi hatukai mji mmoja, tulikubaliana mama akifika nitakwenda kumuona na kumsalimia. Mwezi ule mama alipata matatizo hivyo alishindwa kusafiri, rafiki yangu alishachukua likizo mwezi Januari akae na mama yake, kwakweli nilimhurumia, January ile alishinda nyumbani mwenyewe, ilibidi atafute vishughuli vidogo vidogo ili muda uende.
Hatuna mazoea ya kuongea kila siku, ni mpaka kuwe na jambo la kuongelea, nilikuwa na issue ya kuongea nae, ninapiga ananiambia aah nitakupigia baadae nipo kwa daktari nimemleta mama. Jamani kumbe mama amefika, ehh tangia mwezi wa pili. Mmhh niliona kabisa hili ni lisilokuhusu.
Alinipigia simu baadae tuliongea vizuri issue iniliyotaka kuongea, lakini sikuulizia tena mustakabali wa mama, wala siwezi kusema ninakuja kumuona. Hii ni dalili kabisha huko upande wa pili wa tunnel hakuna mwanga.
hata mm nipo hivo usipouliza jambo au kufatilia ndo imetokaga yani kimya kimyaKuna watu don't care. Asipoulizwa kitu hasemi. Sio waongeaji na kutoatoa taarifa. Na tunaendaga mbali zaidi kufanya mambo kivyetuvyetu.