Hapa ni nchi gani?

he heheheee ... nacheka mie... mji hampewi kuotea mtamaliza miji .. na jamaa kaingia mitini...lol.. :clap2::clap2:
 
ZANZIBAR HAPO DARAJANI YAHEEEEEE;;HAO KINA MAMA WASUBiRI ROJO ATIIIIIIIIIII;;
 
Jamani hapo ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Upande wa Tanzania Visiwani katika Kisiwa cha Pemba ambapo ujenzi umefanyika hivi karibuni
 
Mchamba Wima karibu na Mfereji Maringo...ni jirani na kwa Mpenda Chini...baada ya kupita Kibanda Maiti
 
Hapo ni mamba kotela karibu na soko la kisambo.
 
Mkuu hapo ni Misri karibu na Tahrir square
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…