Nchi gani ili iweje?
kwaza; usitupotezee muda kuna mambo mengi mazito yanayotishia kuyumbisha mustakabali wa nchi yetu tunahitaji kuyajadili, Sasa kutuuliza kitu ambacho jibu lake unalo unamaanisha nini?
Pili; tukisha ijua hiyo nchi faida yake ni nini?
tatu; jamiiforum sio mahala pa kupotezea muda bali ni mahala pa kuelimishana, kupeana maarifa, hoja,utatuzi na ufumbuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa jamii na taifa kwa ujumla
<br />Hicho ni kijiji cha Nyamiyaga au Ntobeye!
duh..............Mkuu hapo ni Misri karibu na Tahrir square