Jamani naombeni msaada wenu,,!
hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao unapelekea kumpenda wanaume.!,
nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri, wakati nikiangalia kwa hali ya kawaida namzidi kila kitu, uzuri, urefu, hela n.k
na nina tabia zuri katika jamii.
kama maneno matamu ya mahaba nina vitabu vitano kila siku nasoma, lakini sijapa furusa yeyote ni nani niwambie hayo maneno matamu.
naombeni msaada wenu wanawake.!!
Mkuu yule mama muuza maandazi anadai hela yake, na anasema uache kukopakopa vitafunio kwake kwani umezidi na hela umlipi.
Tunaangalia walet tu
Kama ni ivo ujijue huna tabia nzuri, wanawake tunapenda mtu mwenye tabia nzuri...
-Tabia za majungu hatupendi
-Kuulizwa maswali ya kijinga hatupendi
-Majigambo yasiyo na mbele wala nyuma hatupendi
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa majivuno na kujiona sana!
Eti mbilikimo ana mwanamke mzuri,mie mrefu nina pesa and blah blah!!!
Kama hizi nyodo ndio maisha yako acha kabisa,binafsi mwanaume anayejiona lulu ajue siku za mahusiano yetu zinahesabika!!!

My dear inategemea na mwanamke . Kwa upande wangu navutiwa na Upendo, Kumcha Mungu, Loyal, Commitment . Kwa sasa ni hayo tuu. Hebu niwaachie na mwenzangu waseme pia. By the way good topic mpendwa , I like it . Thanks.
Jamani naombeni msaada wenu,,!
hivi nyie wanawake huwanga mnaangalia sifa zipi na uzuri upi? ambao unapelekea kumpenda wanaume.!,
nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri, wakati nikiangalia kwa hali ya kawaida namzidi kila kitu, uzuri, urefu, hela n.k
na nina tabia zuri katika jamii.
kama maneno matamu ya mahaba nina vitabu vitano kila siku nasoma, lakini sijapa furusa yeyote ni nani niwambie hayo maneno matamu.
naombeni msaada wenu wanawake.!!
Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.
we dogo usitudhalilishe wanaShinyanga.. Sijui huwa unaandika nini asee.. Kila mara nasoma maandiko yako, nnakasirika unaposema unatoka Shinyanga.. Hata kama ulisema umeishia la saba, soma kwanza unachoandika ndio upost.. Inamaana hata uwezo wa kufikiri huna? Kiingereza hujui na kiswahili pia?? Basi andika kisukuma.. Nyaaaambaaaffffff!!!!