Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,795
Daahh basi atari labda kama alikaa mda mrefu sana.
Haipo sababu nyingine zaidi ya kwamba sirudi kwa mwanaume niliyeachana naye
Daahh basi atari labda kama alikaa mda mrefu sana.
HayaHaipo sababu nyingine zaidi ya kwamba sirudi kwa mwanaume niliyeachana naye
Mpenzi anasomeshwa Cherehani tu..
by the way are there for Dick??
Inategemea mliachana vp kwanza? kingine zile kumbukumbu nzr mlizokuwa pamoja mfano out, gifts nazani unaelewa sizani kama kunamtu huwa anasahau hizi memories kwa haraka kwahiyo inampelekea mtu kumiss na kutaka kurudi kulealipotokaHivi unaanzaje kurudia mpenzi wa zamani?
Dicks zilivyozagaa zagaa hivi nikajirudishe kwa mpenzi wa zamani!!!!heri nianzishe mahusiano na wanaume wapya kila siku ama niwe single
Hayo mengine siyajui buuuut kama ilivyo mpenzi hasomeshwi basi hata mpenzi wa zamani harudiwi
Inategemea mliachana vp kwanza? kingine zile kumbukumbu nzr mlizokuwa pamoja mfano out, gifts nazani unaelewa sizani kama kunamtu huwa anasahau hizi memories kwa haraka kwahiyo inampelekea mtu kumiss na kutaka kurudi kulealipotoka
Simiss chochote kwake kubabake zake!

basi ww hukumpenda huyo mwana ulikuwa naye Kwasababu zako binafsiLabda hana hela sasa.Simiss chochote kwake kubabake zake!
Wewe ni mdangajiSina uhakika break up yenye happy ending ikoje
Nina break up moja hadi sasa,haikuwa ya ugomvi wala marumbano ya namna yoyote....but i'll never get back with him!!
Hawezi kuelewa huyu mapenzi yako vp ajawahi kupata yale ya kihindi na kiphillipinoBado hawajajua kupenda kukoje na ndio maana hata hapa hawaelewi.

unajihisi duniani ww ndio mjanja wengine wote mafala tu
.😂 😂 😂 😂Dicks zilivyozagaa zagaa
Wewe ni mdangaji
Nna was was na hlo tundu sasa si itakuwa kikapu?Hivi unaanzaje kurudia mpenzi wa zamani?
Dicks zilivyozagaa zagaa hivi nikajirudishe kwa mpenzi wa zamani!!!!heri nianzishe mahusiano na wanaume wapya kila siku ama niwe single
Hayo mengine siyajui buuuut kama ilivyo mpenzi hasomeshwi basi hata mpenzi wa zamani harudiwi
Nna was was na hlo tundu sasa si itakuwa kikapu?
Dada wa watu Leo umekuwa mkali.. Nini tatizo..?