Ww uko kwenye relationship kwasababu ya dick tu, mbona mwanaume akiwa kwenye relation kwasababu ya pussy tu, wanawake mnakasirikaga joanah
Uhalisia ni huo ila ni mbaya kumwambia mtu uko nae sababu fulani
Ww uko kwenye relationship kwasababu ya dick tu, mbona mwanaume akiwa kwenye relation kwasababu ya pussy tu, wanawake mnakasirikaga joanah
Kweli nalo lawezekana... Furahi migegedo mwaya... Ndio raha ya dunia.
Kwenye mahusiano Kuna zaidi ya dicking. Other wise wewe unafata ngono tu. ShubaaammmittHivi unaanzaje kurudia mpenzi wa zamani?
Dicks zilivyozagaa zagaa hivi nikajirudishe kwa mpenzi wa zamani!!!!heri nianzishe mahusiano na wanaume wapya kila siku ama niwe single
Hayo mengine siyajui buuuut kama ilivyo mpenzi hasomeshwi basi hata mpenzi wa zamani harudiwi