Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,254
Haha nimekupenda
good
good
Yeah mehnn!
good
Yeah mehnn!
shetani alimpitiaKuna Mmoja alibreak up na mm kwa kashfa sana...mpaka familia yake nayo wakashiriki kunikashifu maana nilkuwa na ukaribu sana na Wadogo zake, mpaka mama yake ....kisa kapata kipya.
Sasa hv ananiambia alikoenda siko...kwa kifupi aliangukia pua....kwa Sasa kuanzia yeye mpaka mama yake wanajitahidi sana kurudisha uhusiano na mimi...Nimeshatumiwa mpaka watu kutakiwa msamaha.
Kwa kifupi nilimjali yeye mpaka familia yake ila Sijui wanawake wanatakaga nini tu...hata Sijui kwa kweli.
Na usije danganyika ukarudi, waache wapambane na hali zaoKuna Mmoja alibreak up na mm kwa kashfa sana...mpaka familia yake nayo wakashiriki kunikashifu maana nilkuwa na ukaribu sana na Wadogo zake, mpaka mama yake ....kisa kapata kipya.
Sasa hv ananiambia alikoenda siko...kwa kifupi aliangukia pua....kwa Sasa kuanzia yeye mpaka mama yake wanajitahidi sana kurudisha uhusiano na mimi...Nimeshatumiwa mpaka watu kutakiwa msamaha.
Kwa kifupi nilimjali yeye mpaka familia yake ila Sijui wanawake wanatakaga nini tu...hata Sijui kwa kweli.
Na usije danganyika ukarudi, waache wapambane na hali zao
, HB, mrefu, mweupe, mwenye gari na nyumba juuu....Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na mpenzi na kuwa na Dicks nyingi,kumrudia mpenzi wako wa zamani ni sahihi 100% ila kuirudia dick ya zamani sio sahihiHivi unaanzaje kurudia mpenzi wa zamani?
Dicks zilivyozagaa zagaa hivi nikajirudishe kwa mpenzi wa zamani!!!!heri nianzishe mahusiano na wanaume wapya kila siku ama niwe single
Hayo mengine siyajui buuuut kama ilivyo mpenzi hasomeshwi basi hata mpenzi wa zamani harudiwi
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na mpenzi na kuwa na Dicks nyingi,kumrudia mpenzi wako wa zamani ni sahihi 100% ila kuirudia dick ya zamani sio sahihi
Sawa,pole kwa yaliyokusibuNi sahihi kwa upande wako,sio kwangu
Sawa,pole kwa yaliyokusibu
Hahahaahaha x ni kwaajili ya one night tu hakuna maana ya kujirudisha kwake tena na kurudisha mapenzi ya zamani tenaSimiss chochote kwake kubabake zake!
Hmna raha kama kumove on mapenzi ni jambo tamu sana yani nikishaona dalili hatuendani au vimigogoro vya kishenzi nakutafutia msaidizi mwezi tu nakupiga teke naendelea na maisha yanguKuvunja mahusiano sio kitendo cha kutengana na mtu kijamii peke yake bali kiakili na hisia pia.
Hisia zikishakufa, akili ikafanya maamuzi hakunaga kurudi nyuma.
Kurudiana na mtu niliyeachana nae ni kuamua kuishi kwa stress kubwa kwani upendo, heshima na uaminifu wa awali haviwezi kurudi
Ukiamua kuacha acha moja kwa moja vinginevyo komaa na hali yako
Kuna lingine kwani?
Hivi unaanzaje kurudia mpenzi wa zamani?
Dicks zilivyozagaa zagaa hivi nikajirudishe kwa mpenzi wa zamani!!!!heri nianzishe mahusiano na wanaume wapya kila siku ama niwe single
Hayo mengine siyajui buuuut kama ilivyo mpenzi hasomeshwi basi hata mpenzi wa zamani harudiwi
Mhm hao naona hawajakugegeda vizuri ndio tatizo
Au labda kila nayempata anakuwa bora zaidi ya aliyepita