Emc2 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 16,808 Reaction score 16,966 Apr 19, 2012 #1 View attachment 52046 Hivi miundo mbinu vipi. kama msongamano wa magari ndio hivyo baada ya miaka mitano Tanzania itakuwaje?
View attachment 52046 Hivi miundo mbinu vipi. kama msongamano wa magari ndio hivyo baada ya miaka mitano Tanzania itakuwaje?
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Apr 19, 2012 #2 sioni msongamano wa magari hapo!..naona magari matano tu!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,418 Apr 19, 2012 #3 Huo msongamano ni mdogo sometimes ukipita hapo unaweza sema any time ajali inatokea Huwa panabanana hapo
Huo msongamano ni mdogo sometimes ukipita hapo unaweza sema any time ajali inatokea Huwa panabanana hapo
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Apr 19, 2012 #4 Si kila mwaka civil engineers wanagraduate hapo mlimani?Sasa huwa wanapotelea wapi maana hizi ndio kazi zao kudesign ma fly overs.
Si kila mwaka civil engineers wanagraduate hapo mlimani?Sasa huwa wanapotelea wapi maana hizi ndio kazi zao kudesign ma fly overs.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Apr 19, 2012 #5 St. Paka Mweusi said: Si kila mwaka civil engineers wanagraduate hapo mlimani?Sasa huwa wanapotelea wapi maana hizi ndio kazi zao kudesign ma fly overs. Click to expand... nani wa kuiplimenti??
St. Paka Mweusi said: Si kila mwaka civil engineers wanagraduate hapo mlimani?Sasa huwa wanapotelea wapi maana hizi ndio kazi zao kudesign ma fly overs. Click to expand... nani wa kuiplimenti??
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Apr 19, 2012 #6 Emanuel Makofia said: nani wa kuiplimenti?? Click to expand... Na ni nani wa kulipia huo mradi??
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 884 Apr 19, 2012 #7 MANI said: Na ni nani wa kulipia huo mradi?? Click to expand... Nani wa kuhakikisha hizo hela endapo zitatolewa zitatumika kwenye mradi husika?
MANI said: Na ni nani wa kulipia huo mradi?? Click to expand... Nani wa kuhakikisha hizo hela endapo zitatolewa zitatumika kwenye mradi husika?
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Apr 19, 2012 #8 nchi ishauzwa ..watumishi wa serikali wanashindana na kial bill geti kuwa na mapesa