What does tha number signifyHuwezi
Weka line kwenye Simu hapo utapataHabari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ?
Ahsante
Huwezi, hizo ni serial no. za line, na zina maana, hio 89 inamaanisha hio ni telecom sim card, line zote lazma zianze na 89, hio 255 ni country code Tanzania, inafuata code ya mtandao kama airtel voda tigo, inafuata unique code kwa kila lineHabari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ?
Ahsante