Wanajeshi wa Marekani ndio wameshafungasha virago toka Iraq baada ya kukosa WMD, lakini mauaji yanaendelea kama kawaida, kila uchao! Kwa kifupi ni kwamba hawa Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe. Ingelikuwa ni vema kama wangekaa na kujenga Iraq mpya badala ya mapambano kati ya Wasuni na Washia!
One of blasts occurred in the residential Mansour district, Iraq
Alaumiwe anayetengeneza silaha!!Wanajeshi wa Marekani ndio wameshafungasha virago toka Iraq baada ya kukosa WMD, lakini mauaji yanaendelea kama kawaida, kila uchao! Kwa kifupi ni kwamba hawa Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe. Ingelikuwa ni vema kama wangekaa na kujenga Iraq mpya badala ya mapambano kati ya Wasuni na Washia!
One of blasts occurred in the residential Mansour district, Iraq