tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
1. Unakumbana na foleni kuanzia saa 12 mpaka saa tano Usiku.
2. Unarudi home Umeme hakuna.
3. Maji yamekatika
4. Ndani joto hauwezi kuwasha feni wala AC coz hakuna Umeme.
5. Hauwezi kuoga kuondoa joto coz maji yamekatika.
6. Ukiamua utoke nje unakutana na vibaka wabeba visu.
7. Unaamua kubaki ndani uumie kiroho safi kwa Giza na joto.
8. Hasira zinakupanda unalala umekasirika.
9. Asubuhi unaamka na hasira zako direct kazini.
10. Customer care hapo job inakushinda coz umelala full stress.
11. Mwajiri anakutumbua jipu kwa kukosa ufanisi.
12. Unakosa hela ya kuhudumia familia na wewe mwenyewe kwa chakula, malazi, mavazi na elimu.
13. Umaskini huoooooooooooooo
Kasome "Vicious Cycle of Poverty"
Utaelewa kwa nini sababu ya umaskini ni Umaskini!
Tanzania Yangu Nchi yangu.