Socratesson
Senior Member
- Oct 5, 2012
- 119
- 23
Edo Edo Edo Edo ...... vichwa vya nazi kujadili fisadi lililokubuhu katika utumishi wa umma. What significant acheivements can he bring in our country more than increasing grand corruptions and damaging the future of this nation? Where and when did he proved to be the best candidate in the CCM if you guys are not part of the corrupt tanzanians who does not wish the best to prevail in the future generation of our people. Records exist which shows that, from his early age after college was employed as public servant, how comes he demonstrates such huge accumulated wealth? when and how did he dedicated his time as business man to earn such a wealth if he neither plundered public funds nor used public office for personal gains?
Lets discuss possibility of getting right people for the presidency who have demonstarted high integrity in the public service of our country and stop this EDO thing out. He has no clean hands for the majority of Tanzanians but he has clean hands for very few of Tanzanians who are the beneficiary of his mis conducts.
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;
Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;

Hii ni sekretarieti lakini, sio CC; tulichonacho so far ni wajumbe saba wa sekretarieti ambao automatically wanaingia kwenye CC; Kwahiyo hawa ni wajumbe wa mwanzo wa CC i.e. wajumbe saba kati ya jumla ya wajumbe ishirini, which makes it only one third of the total so far; Ni muhimu tusubiri uteuzi wa wajumbe 13 waliobakia ili tujue ni kina nani, then ndio tuingie katika analysis husika;
Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.
Katika hili kikwete anastahili pongezi , Kinana c mchezo , si mtu wa kupelekwa pelekwa na ndio maana alikaa pembeni kama wadau wanavyosema hapo juu watakuwa wamemshawishi sana kukubali hiyo nafasi, so far mi naona vichwa vya ccm vinavyoweza kusaidia ni nape,kinana na mangula wengine hao mhhhh !!
Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.
Hatred yako kwa CCM ipo justified kabisa, na ni mwehu tu ndio atakuwa na mapenzi na CCM ya sasa bila ya kuikosoa; vinginevyo kuhusu Lowassa na CC, ni mapema kujadili hilo as a final analysis kwani ni mapema mno kujua iwapo Lowassa is a political asset au a political liability KWA CCM, tutajua hilo Mwanzoni mwa 2015, hasa pale market forces zitakapo kick in; So far ni direct interventions ndio zinaendelea to determine whether he is an asset or a liability;
Vinginevyo kwa sasa, kama nilivyokwisha sema elsewhere, uteuzi wa Kinana, Mangula ni jambo zuri kwa CCM ya sasa, lakini ni muhimu tujue tu kwamba katika mwili wa lijitu hili linaloitwa CCM, kilichotokea ni mabadiliko kidogo katika Kichwa lakini Shingo imebakia kuwa ni ile ile;
Nadhanu pia utakubaliana na mimi kwamba Shingo (sio kichwa) ndio hufanya kichwa kigeuke kulia, kushoto, kitazame juu, kitazame chini, kilalie mto, kisilalie mto, kiitikie ndio au hapana kwa kutikisa kichwa n.k; Kichwa hakifanyi haya kwa maamuzi yake bali kwa maamuzi na nguvu ya shingo;
Hii ndio changamoto kubwa inayokikabili Kichwa (Kinana, Mangula) kwani Shingo ni ile ile;
Kaka hapa wewe nadhani ndiye unaekosea , mwigulu thinks after speaking. To me and perhsps to a majority of us Mwigulu has never provided poltically influential speeches.
Mwigulu ana shule kubwa kuliko Nape lkn Nape anauwezo mkubwa wa kupambanua nyakati za siasa na kuzitolea speech kwa mujibu wa nyakati hizo. Mwigulu is not of that type. Mchambuzi is right kwa mtazamo wangu.lkn nawewe huo ni mtazamo wako kwa hiyo tuendelee
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;
Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;
Nakuomba usome maneno yaliyokuwa highlited na Nyekundu upate nataka kumaanisha nini. Nafasi ya Naibu katiibu Mkuu Bara/Zanzibar ni nafasi ya kitendaji, na kwa mujibu wa kanuni za CCM hairuhusiwi kushikwa na mwanachama mwenye wadhifa wa uwaziri katika serikali. Kwa maana hiyo January Makamba ni naibu waziri hivyo hawezi kushika nafasi ya Naibu katibu Mkuu nafasi ambayo ni ya kitendaji itapinganana kanuni za uongozi za CCM.Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;
;
Nakuomba usome maneno yaliyokuwa highlited na Nyekundu upate nataka kumaanisha nini. Nafasi ya Naibu katiibu Mkuu Bara/Zanzibar ni nafasi ya kitendaji, na kwa mujibu wa kanuni za CCM hairuhusiwi kushikwa na mwanachama mwenye wadhifa wa uwaziri katika serikali. Kwa maana hiyo January Makamba ni naibu waziri hivyo hawezi kushika nafasi ya Naibu katibu Mkuu nafasi ambayo ni ya kitendaji itapinganana kanuni za uongozi za CCM.
Kwa ulivyomchambua lameck Nchemba nimekupa like, jenerali ulimwengu aliwahi kusema unapowapa madaraka watu washamba malimbukeni kama Nchemba jua umepotoka, kwa hili CCM imechimba kabuli