Hapa Kunani Tena?

KA2.jpg

Hapo vipi?
 

Attachments

  • matondo blogspot dot com - mabinti watatu.png
    matondo blogspot dot com - mabinti watatu.png
    58 KB · Views: 142
Kuna kenge humu anapost upuuzi!
Kila kitu kwake ni udini na ukabila na ccm na cdm. Ukiwa bata daima bata tu! Unaharisha tu maisha yako yote! Bata hanyi, anahara!

NCCR M/kiti ni mchaga
TLP M/kiti mchaga.

Kwasababu CDM kimewainamisha mnahaha!
Bata bata tu!
 
Hizo ndizo kitchen paty za bongo, mamama mazima kukata viuno hadharani, lo maadili hakuna hata kidogo.
 
Duh si mchezo,Saint Ivuga hapa ni mitaa ya Nairobi na haya ni moja ya matatizo ya kutumia toilet paperz................
La hasha, haya ni matatizo ya kula kachumbali na kutomtembelea mwana mganga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom