Hapa kuna usalama kweli?

Kuileta jukwaani ni wazi unatangaza soko na soon wahusika watakufuata inbox muyajenge.

Note Below
Kuna mambo ni aibu kwa mwanaume rijali kuyasimulia hadharani, labda kama siyo rijali na anavutia walengwa
 
😂😂 Mkuu, hapo usichanganye biashara na hisia. Dopamine inaweza kupanda, lakini akili ibaki kwenye usukani.

Kama ni customer muhimu, weka mipaka kwa heshima bila kumfanya ajisikie vibaya.

Na usihitimishe kwamba ana nia gani mpaka muwasiliane wazi.

Kumbuka, mtu anaweza kuwa na mvuto kwako, lakini si kila mvuto unahitaji kufuatwa. 😅🤝
 
Ukiona fremu ya duka imebaki na panadol tu na viwembe na unga wa kupima kwingine shelfu ziko tupu basi elewa walianza kama wewe.

Ukimchunguza aliyefirisika utakuta hanywi pombe, havuti sigara wala sehemu za starehe haonekani ila duka linapukutika siku hadi siku.

Usije ukasema hatukukuonya.
 
Kuileta jukwaani ni wazi unatangaza soko na soon wahusika watakufuata inbox muyajenge.

Note Below
Kuna mambo ni aibu kwa mwanaume rijali kuyasimulia hadharani, labda kama siyo rijali na anavutia walengwa
Hapana mkuu where we dare to talk openly? kuna watu humu wana experience humu so kupitia wao naweza kupata mwongozo wa kutatua changamoto hii...

asante may be umenielewa ndivyo sivyo naninavyo waza mimi.
 
Asaaaaante mkuu... noted!!! Halafu kuna ile ya kujiombeleombelesha na ikwepaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…