Hapa kuna usalama kweli?

Hapa kuna usalama kweli?

Wakuu...
The LORD is good!!!

Kuna mdada hapa ananichanganya, kila akija anaanza kwa kunishika shika, leo mara ya pili.......

Leo ndio kabisaaa amezidi mpaka nime.....mwambia mikono yake ya barlidi...

Halafu anaanza kuleta story za kumtoa nyoka pangoni......
Na age yangu hii amenishika tuu
Dopamine reward system ikaitikia... Nifanyeje wakuu?
Maana ni customer muhimu sana sihitaji kumkwaza...
Kuileta jukwaani ni wazi unatangaza soko na soon wahusika watakufuata inbox muyajenge.

Note Below
Kuna mambo ni aibu kwa mwanaume rijali kuyasimulia hadharani, labda kama siyo rijali na anavutia walengwa
 
😂😂 Mkuu, hapo usichanganye biashara na hisia. Dopamine inaweza kupanda, lakini akili ibaki kwenye usukani.

Kama ni customer muhimu, weka mipaka kwa heshima bila kumfanya ajisikie vibaya.

Na usihitimishe kwamba ana nia gani mpaka muwasiliane wazi.

Kumbuka, mtu anaweza kuwa na mvuto kwako, lakini si kila mvuto unahitaji kufuatwa. 😅🤝
 
Wakuu...
The LORD is good!!!

Kuna mdada hapa ananichanganya, kila akija anaanza kwa kunishika shika, leo mara ya pili.......

Leo ndio kabisaaa amezidi mpaka nime.....mwambia mikono yake ya barlidi...

Halafu anaanza kuleta story za kumtoa nyoka pangoni......
Na age yangu hii amenishika tuu
Dopamine reward system ikaitikia... Nifanyeje wakuu?
Maana ni customer muhimu sana sihitaji kumkwaza...
Ukiona fremu ya duka imebaki na panadol tu na viwembe na unga wa kupima kwingine shelfu ziko tupu basi elewa walianza kama wewe.

Ukimchunguza aliyefirisika utakuta hanywi pombe, havuti sigara wala sehemu za starehe haonekani ila duka linapukutika siku hadi siku.

Usije ukasema hatukukuonya.
 
Kuileta jukwaani ni wazi unatangaza soko na soon wahusika watakufuata inbox muyajenge.

Note Below
Kuna mambo ni aibu kwa mwanaume rijali kuyasimulia hadharani, labda kama siyo rijali na anavutia walengwa
Hapana mkuu where we dare to talk openly? kuna watu humu wana experience humu so kupitia wao naweza kupata mwongozo wa kutatua changamoto hii...

asante may be umenielewa ndivyo sivyo naninavyo waza mimi.
 
Mkuu, hapo usichanganye biashara na hisia. Dopamine inaweza kupanda, lakini akili ibaki kwenye usukani.

Kama ni customer muhimu, weka mipaka kwa heshima bila kumfanya ajisikie vibaya.

Na usihitimishe kwamba ana nia gani mpaka muwasiliane wazi.

Kumbuka, mtu anaweza kuwa na mvuto kwako, lakini si kila mvuto unahitaji kufuatwa.
Asaaaaante mkuu... noted!!! Halafu kuna ile ya kujiombeleombelesha na ikwepaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom