Wife material ndio yukoje?Hapana mkuu... sitaki kungonoka na mdada yoyote mpaka nipate wife material
Bwana ndiye mchungaji wako, hutapungukiwa na kitu.Wakuu...
The LORD is good!!!
Kuna mdada hapa ananichanganya, kila akija anaanza kwa kunishika shika, leo mara ya pili.......
Leo ndio kabisaaa amezidi mpaka nime.....mwambia mikono yake ya barlidi...
Halafu anaanza kuleta story za kumtoa nyoka pangoni......
Na age yangu hii amenishika tuu
Dopamine reward system ikaitikia... Nifanyeje wakuu?
Maana ni customer muhimu sana sihitaji kumkwaza...
Kuwa makini huyo ni mzoefu asije akakuchezea akakubwagaAmen.... !!! ...Mkuu
Mungu anibless nisiyachokoze mapenzi nikiwa little boy!
Chukua tahadhari,Wakuu...
The LORD is good!!!
Kuna mdada hapa ananichanganya, kila akija anaanza kwa kunishika shika, leo mara ya pili.......
Leo ndio kabisaaa amezidi mpaka nime.....mwambia mikono yake ya barlidi...
Halafu anaanza kuleta story za kumtoa nyoka pangoni......
Na age yangu hii amenishika tuu
Dopamine reward system ikaitikia... Nifanyeje wakuu?
Maana ni customer muhimu sana sihitaji kumkwaza...

sawaMimi ni little boy sitaki kungonoka bila utaratibu aliouweka MUNGU
We mwanaume kweli? Huyo kanyaga gia harafu kama ni mteja usimpe helA huyo ana ugwadu sugua harafu kaa kimyaWakuu...
The LORD is good!!!
Kuna mdada hapa ananichanganya, kila akija anaanza kwa kunishika shika, leo mara ya pili.......
Leo ndio kabisaaa amezidi mpaka nime.....mwambia mikono yake ya barlidi...
Halafu anaanza kuleta story za kumtoa nyoka pangoni......
Na age yangu hii amenishika tuu
Dopamine reward system ikaitikia... Nifanyeje wakuu?
Maana ni customer muhimu sana sihitaji kumkwaza...
Si kila shimo ni la kuingia, mashimo mengine ni ya kuzimu.Sasa we huelewi nini hapo, piga.
Asije akakuona we mchele.
Utampata wapi?Amesheheni ndani na nje kwa tabia na makorokoro mengine...