Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 1,781
- 3,200
- Thread starter
- #61
Kweli mkuu... umenena vyema...Ukiona fremu ya duka imebaki na panadol tu na viwembe na unga wa kupima kwingine shelfu ziko tupu basi elewa walianza kama wewe.
Ukimchunguza aliyefirisika utakuta hanywi pombe, havuti sigara wala sehemu za starehe haonekani ila duka linapukutika siku hadi siku.
Usije ukasema hatukukuonya.
